meckxas Bono
Member
- Dec 26, 2016
- 46
- 17
Nina shaka na huyu askari alipitia mafunzo kikamilifu? Mazingira yepi yaliyomfanya atoe bastola yawezekana hata mwizi wa kuku atamtolea kifaru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
napata mashaka sana na utimamu wa nape, hapa kama alikuwa hajala madawa basi alikuwa kajitwika bapa. Naona busara za kijana wa wake wengi maulid wa kitenge, huyu jamaa anaonekana ni mzoefu wa mizozo.Hapa alikuwa anaingia viwanja vya Protea Hotel kwa ajili ya kuingia ukumbini kuanza mkutano, ndipo hawa vijana walipomfuata na kumtaka asishuke kwenye gari badala yake aondoke...ila mwishoni alweza kuendelea na mkutano japo kwa mbinde!
Ni aibu kwa taaluma nzima ya usalama,kwa mwanausalama kumvamia kiongozi bila ya kujitambulisha na kuonyesha kitambulisho na kuanza kumtisha kwa bastola ili atii amri yako.
Nakushauri kamanda Sirro umrudishe uyu kijana akasome vizuri sheria za usalama kuliko kulitia aibu jeshi la polisi.
Haapa alivyotolewa bastola, Msanii Harmorapa naye alikuwepo hapo ila alitimua mbiop baada ya Bastola kuonyeshwa
Nina shaka na huyu askari alipitia mafunzo kikamilifu? Mazingira yepi yaliyomfanya atoe bastola yawezekana hata mwizi wa kuku atamtolea kifaru
Nina shaka na huyu askari alipitia mafunzo kikamilifu? Mazingira yepi yaliyomfanya atoe bastola yawezekana hata mwizi wa kuku atamtolea kifaru
Wewe hili tu la leo limekushangaza hivi, umewahi kujiuliza mama jesca ameshangaa mangapi toka amjue John??
tusimlaumu huyu askari alikosewa adabu, mtu kamfuata kistaarabu tena kaonyeshwa na kitambulisho yeye kaanza kupayuka hovyo.Nina shaka na huyu askari alipitia mafunzo kikamilifu? Mazingira yepi yaliyomfanya atoe bastola yawezekana hata mwizi wa kuku atamtolea kifaru
Jamani huyo ni msubi sio msukuma plz guysSafari hii vikosi vyote anaweka wasukuma wenzake, sijui kama kuna atakayemnyima loyalty.
Kuna MTU kasema "mnasubiri nini ?" HV ana maana gani
BashiteAskari kaombwa I'd card katoa pistol. Angeombwa cheti si angetoa Bomu?
Ni hofu ya watawala na walioogopa kwa dhana potofu kwamba Nape atatangaza "uamuzi mgumu" au "atafanya maamuzi magumu".Dah! Mimi si mpenzi wa CCM na si shabiki wa Nape ila hicho nilichokiona kwenye hiyo video sijakifurahia.Kwangu haki ni haki tu.
Ni nini hasa kilipelekea yote hayo?
Kuna anayejua humu anieleweshe zaidi?
Uchungu wa machungu ni pale uchungu huo unapo upata na wewe .haya yanayo mpata nape sasa ni matokeo ya kushiriki dhambi nyingi alipo kuwa na mamlaka ya kufanya hivyo.Malipo n hapa hapa duniani goli la mkono limemrudia
Wewe eddy una shida kubwa Nape hakupayuka, ww ni kibaraka wa mtoto na baba yake.tusimlaumu huyu askari alikosewa adabu, mtu kamfuata kistaarabu tena kaonyeshwa na kitambulisho yeye kaanza kupayuka hovyo.
Huyo mwingine mstaarabu kabisa na bastola yake, huyu Mura angemchapa hata makofi Nape pale, mori ulishapandaWenye pistols zilizoonekana wapo wawili hapo. Sasa sijui wewe unamuongelea yupi?
Hakika! Pia wanaomuhurumia na kumuita shujaa wajitafakari upya!Mzee wa goli la mkono limemrudi!!!.....Malipo ni hapahapa!!!