Kwa hiyo Magufuli alikuwa akishiriki mapenzi ya jinsia moja?
Kamwulize Mwakyembe ewe mwana wa Uasi.NGO ipi ?
Utajadiliwa tu, , mpaka uache au ufe!Anaacha kujadili madudu ya wizara yake yaliyoibuliwa na CAG anajadili petty issues.
Utajadiliwa tu mpaka uache au ufe!Yes, it is indeed petty. There are more pressing issues mambo yanagusa kila mtu badala ya kujadili maamuzi ya watu wachache wafanyayo faragha. Wizara yake ina madudu kibao ila anatafuta public sympathy kwa kuwachota akili na mambo ya hovyo.
Kamuulize wewe kisha ulete majibu, acha kuropokaKamwulize Mwakyembe ewe mwana wa Uasi.
Viongozi wote madikite wa ki Africa wanakimbilia kujificha kwenye ushoga , Ili wafiche maovu Yao,Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”
Mbona mabasha hamuwasemi, au Basha ni shoga piaNadhani wangeanzia mule mule bungeni, inawezekana kabisa Kuna wanawake wasagaji mle ndani. Au hii kitu haiwahusu wasagaji inawahusu mashoga tu?
Tuanzie bungeni. Kila mbunge atuonyeshe mwenza wake na michepuko yake yote.
Mwana wa Uasi,Kamuulize wewe kisha ulete majibu, acha kuropoka
Wakeemeni mabasha piaMwana wa Uasi,
Huna mamlaka ya kuniamulia niandike nini!!!!
USHOGA unaenezwa Kwa Siri, sisi tunaukemea wazi na UOVU huo utarudi GIZANI ulikoanzia.
Acha chuki na wenye mapenzi na mfu yoyote anaesema kuhusu ushoga uwepo huyo sio wa kumchekea ni adui kwetu awe sukuma au samia gangSukuma Gang watamponda
Sheria ipo wazi kuwa Tanzania haituruhusu hayo mambo, wala hakuna chochote kilichobadilika ila utasikia mijitu iliyokosa kazi ikidai serikali inaruhusu ushoga
Naona unapambania uhuru wako mshika kibendera tajiri wa rangiKumfunga Shoga ni sawa na kumpiga teke chula, kama hutaki afirwe uraiani basi anaenda kufirwa Gerezani.
Ni bora Katiba mpya ijayo iwape uhuru na haki zao hawa wana Sodoma jazz.
Mashoga wapo wengiMApenzi ya jinsia moja ni petty issue?
Nimemuasi mamaako au nani?Mwana wa Uasi,
Huna mamlaka ya kuniamulia niandike nini!!!!
USHOGA unaenezwa Kwa Siri, sisi tunaukemea wazi na UOVU huo utarudi GIZANI ulikoanzia.
Wewe kwani ni Sukuma Gang?Acha chuki na wenye mapenzi na mfu yoyote anaesema kuhusu ushoga uwepo huyo sio wa kumchekea ni adui kwetu awe sukuma au samia gang
Mm sina genge lolote nimetoa angalizo hili swala la ushoga sio la kundi fulani yoyote anaetetea au kuhamasisha ushoga ni adui tuWewe kwani ni Sukuma Gang?
Ni dhambi kuwabagua Mashoga, Mashoga ni Binadamu wenzetu.Naona unapambania uhuru wako mshika kibendera tajiri wa rangi
WAKATI MTAANI KUKIWEPO NA VIGODORO SIJUI BAIKOKOUjue sisi ndo tunakuza haya mambo, kwamba hayapo Tz ndo yanaingia?
Hapo ndo nashangaa afu lawama anatupiwa MarekaniWAKATI MTAANI KUKIWEPO NA VIGODORO SIJUI BAIKOKO
WAANDAJI WANAWAITA MASHOGA
ova
Basi hujui kuhusu nilichosema, kaa kimyaMm sina genge lolote nimetoa angalizo hili swala la ushoga sio la kundi fulani yoyote anaetetea au kuhamasisha ushoga ni adui tu