Nape Nnauye: Kiroboto ulishindwa akiwepo godfather, utaweza leo?

Huyu unayemwita mwendazake ndo aliirejesha ccm kwa wanachi wakaanza kuipenda .ili ccm ya kuvaa nguo yake ukaanza kuzomewa ilipotea .

Sent using Jamii Forums mobile app
How come kwenye hicho kipindi chake ndiyo kumeshamiri vitendo vya watu kutekwa na kupotezwa?
Yani wananchi walizidi kuipenda CCM baada miili kadhaa kuooplewa kwenye viroba baharini,??
 
Acha uzandiki, wapi ameleta kinyongo?
Hichi anachokifanya leo alikua anawashambulia sana wengine wakifanya enzi za marehemy pombe.

Nini kimemsibu huyu chakubanga mpaka leo analia-lia kuwa ananyanyaswa na sheria za tcra hili-hali enzi za mzee pombe walikua wanazitumia sheria hizi kuwanyamazisha waliokuwa wanamkosoa mzee pombe??
 

Sasa huyo huyo FISADI ndio mshauri mkuu wa Samia, hivi sasa yuko mbioni kusuka fitina zake Mzee Mangulla aondolewe kwani anamuona ndio kigogo aliyebaki ambaye hamuogopi!!
 
Kile wala hakikuwa chama cha siasa, lilikuwa genge fulani tu mumiani
 
Kama sheria ni mbaya ni mbaya tu, iwe ni utawala wa JPM. Samia au Mbowe! Huwezi ukafuahia kutenda kosa kwa sababu fulani ametenda kosa hilo na hakuchukuliwa hatua!
 
Kucheka/kulia, huw ni matendo ya kupokezana. Leo zamu ya pole polee imefika atulie tuuu.
 
CCM under humphrey & bashiru wapinzani hawakuruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara na maandamano tofauti na awamu ya nne, katika kipindi chao wagombea wengi wa chama chao waliokuwa wa mrengo tofauti walioshinda kura za wajumbe walienguliwa pia wagombea wengi zaidi wa upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu walienguliwa kwa kiwango kikubwa kuwahi kutokea.
watu wengne wamekalia maubishi tu..

Ila honestly, ccm under humphrey & bashiru ilikuwa na mvuto zaidi ukilinganisha ccm ya hapo katikati....
 
Kikwete hakuzuia maandamano na mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, pia hakuzuia vyombo vya habari na wasanii kuimulika serikali yake.
 
Baada ya Polepole kuongea na Waandishi wa Habari. Mbunge wa Mtama Nnape Nnauye, ameandika kwenye Mitandao ya kijamii...
Hili jibu tu linaonyesha huyu Nape alivyo mpumbavu kweli kweli; yaani kichwani mwake hamna kitu kabisa.
 
Hapana waache waonjeshane joto... Pole pole nae alishupaza Sana shingo wakati ni mwenezi alijiona ni an touchable na nchi ni Yao... Sasa zamzam wacha watoane dam
 
Hivi KIROBOTO Kwa jinsi alivyonajisi DEMOKRASIA ya hii nchi na mwendazake huwa anafundishaga ninj maana siwezi kumsikiliza yeye KABUDI NA KITILA walichokuwa wanafundisha wakati wa KIKWETE WALIPOPEWA DHAMANA WAKATUKA SANA TAALUMA ZAO
 
Kwa hiyo ni kweli Magufuli alikuwa akiua wapinzani kwa maslahi ya taifa.

Hakuna ukweli hapo. Wapinzani pia ndugu zetu, kaka, dada zetu,maslahi ya taifa lazima yaemde mbele.

Yawe kipaumbele kwa taifa lolote.
 
Poleople anatapatapa,hakubali matokeo anataka kugombana na ukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…