Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Na Polepole kwanini analeta kinyongo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How come kwenye hicho kipindi chake ndiyo kumeshamiri vitendo vya watu kutekwa na kupotezwa?Huyu unayemwita mwendazake ndo aliirejesha ccm kwa wanachi wakaanza kuipenda .ili ccm ya kuvaa nguo yake ukaanza kuzomewa ilipotea .
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uzandiki, wapi ameleta kinyongo?Na Polepole kwanini analeta kinyongo?
Hichi anachokifanya leo alikua anawashambulia sana wengine wakifanya enzi za marehemy pombe.Acha uzandiki, wapi ameleta kinyongo?
aliyekimaliza chama ni kikwete,enz zake chama kilinuka ufisadi na uchafu wa kila namna,Hadi ss wengine tulipata shida mtaani,yaani ukipita umevaa shati lolote la kijani aise raia wanatamani wakugawane onspot,watu walichukizwa na ufisadi wa serikali ya 4 kupindukia,akinamama zike kanga zao za kijani na njano waliogopa kuvaa kwa aibu ya ufisadi wa serikali ya awamu ya 4,chama kilioza na kuzaraulika kupindukia, kila mwana ccm enz hizo aliitwa ni fisadi hata Kama ni msafi,
Hakyanani ile ccm ya Kikwete, sina hamu hata kuisikia. Ikafie mbaliMagufuli aliifufua CCM iliyouliwa na awamu ya nne.
Kile wala hakikuwa chama cha siasa, lilikuwa genge fulani tu mumianialiyekimaliza chama ni kikwete,enz zake chama kilinuka ufisadi na uchafu wa kila namna,Hadi ss wengine tulipata shida mtaani,yaani ukipita umevaa shati lolote la kijani aise raia wanatamani wakugawane onspot,watu walichukizwa na ufisadi wa serikali ya 4 kupindukia,akinamama zike kanga zao za kijani na njano waliogopa kuvaa kwa aibu ya ufisadi wa serikali ya awamu ya 4,chama kilioza na kuzaraulika kupindukia, kila mwana ccm enz hizo aliitwa ni fisadi hata Kama ni msafi,
Kama sheria ni mbaya ni mbaya tu, iwe ni utawala wa JPM. Samia au Mbowe! Huwezi ukafuahia kutenda kosa kwa sababu fulani ametenda kosa hilo na hakuchukuliwa hatua!Hichi anachokifanya leo alikua anawashambulia sana wengine wakifanya enzi za marehemy pombe.
Nini kimemsibu huyu chakubanga mpaka leo analia-lia kuwa ananyanyaswa na sheria za tcra hili-hali enzi za mzee pombe walikua wanazitumia sheria hizi kuwanyamazisha waliokuwa wanamkosoa mzee pombe??
watu wengne wamekalia maubishi tu..
Ila honestly, ccm under humphrey & bashiru ilikuwa na mvuto zaidi ukilinganisha ccm ya hapo katikati....
aliyekimaliza chama ni kikwete,enz zake chama kilinuka ufisadi na uchafu wa kila namna,Hadi ss wengine tulipata shida mtaani,yaani ukipita umevaa shati lolote la kijani aise raia wanatamani wakugawane onspot,watu walichukizwa na ufisadi wa serikali ya 4 kupindukia,akinamama zike kanga zao za kijani na njano waliogopa kuvaa kwa aibu ya ufisadi wa serikali ya awamu ya 4,chama kilioza na kuzaraulika kupindukia, kila mwana ccm enz hizo aliitwa ni fisadi hata Kama ni msafi,
Hili jibu tu linaonyesha huyu Nape alivyo mpumbavu kweli kweli; yaani kichwani mwake hamna kitu kabisa.Baada ya Polepole kuongea na Waandishi wa Habari. Mbunge wa Mtama Nnape Nnauye, ameandika kwenye Mitandao ya kijamii...
Hapana waache waonjeshane joto... Pole pole nae alishupaza Sana shingo wakati ni mwenezi alijiona ni an touchable na nchi ni Yao... Sasa zamzam wacha watoane damKumbe nayeye alikua makini akisubiri press ya Polepole...[emoji56]
Hii inaonyesha ni kiasigani wana CCM walikua wakisuburi kwa ham kusikia Polepole akitangaza kung'atuka ehhhh...[emoji12]
Ebu nitoshe kumkumbusha Nape atunze akiba ya maneno, asije akaponzwa masikio kuzidi kichwa..
MzilanKENDE au KAYAFAKabla ya yote naomba nielekezwe Godfather ndio nani kwanza[emoji28] maana kiroboto najua ni Juma Kassim Nature!
Kwa hiyo ni kweli Magufuli alikuwa akiua wapinzani kwa maslahi ya taifa.
Naomba ile picha ya nape akiomba msamaha kwa nduli