Tetesi: Nape Nnauye kufukuzwa uanachama wa CCM

Status
Not open for further replies.
hili mkuu ndilo la msingi sana kwa nape
 
Hawa vijana viongozi wa sisiemu wawe makini na mzuka wanaopewa na watu wa upinzani, watumie akili kidogo, ni technique mpya ya ukawa kujaribu pambana na sisiemu.
 
mtafute Membe rafiki yako mkae kikao mwiteni na Manji rafiki yenu pia mtoto wa Rais mstaafu mjadiliane Vizuri kwa utulivu kisha mtengeneze msg ya kumpelekea Msukuma aliyelewa madaraka mpaka kajisahau anajua kuwa atakaa ilkulu kama mseveni.
 
Hakuna wa kushindana na magufuli kwa sasa,,,lile jeshi la mtu mmoja,,,leo Kabudi kapewa katiba na sheria kuna sababu pale,,jaribun kuelewa waliopo ndani wanajua kulko sisi...
 
Akija huko chadema atamfukuza lowasa..mtampa wakati mgumu Mzee wenu..sasa itabidi aende ACT akagombee urais au arudi ccm..maana asiyempenda atakuwa kaja
 
Uwoga wako ndiyo umasikini wako Nape ni shujaa na ni mfano wa kuigwa kwani hakifutwa uwanachama ndiyo mwisho wa maisha yake?Hata kama wakimfuta uwanachama maisha yatasonga mbele yeye siyo mtoa riziki
 
Hawa vijana viongozi wa sisiemu wawe makini na mzuka wanaopewa na watu wa upinzani, watumie akili kidogo, ni technique mpya ya ukawa kujaribu pambana na sisiemu.
Si kweli hii haijasukwa na Chadema kwani Makonda na Nape walianza kutofautiana kipindi Wema sepetu kawekwa ndani huo mgogoro ni wa CCM wenyewe usiuhusishe na Chadema kabsa isipokuwa sasa Nape atapewa pole na Chadema kwa ushujaa wa kusema Ukweli ingawa umemgharimu
 
Nape ni mmoja wa mzizi mkuu wa mtawala yule, alihakikisha mtawala anaota wakiwa na makamba+mwigulu. Hivyo awe makini kuukata mzizi huu
Mzee wake kamlelea chamani yeye kakuzwa na kulelewa na chama nayeye akakua akakitumikia na kukieneza pia kifupi nape na ccm wameleana. Anaijua ccm zaidi naweza sema sasa sio wakumchukulia poa poa kama kitumbua cha mama saidi.mambo ya Susi na Chuma haya.
 
Nape anajua kile anachokifanya. Sio "insane" kama yule jamaa wa Paskalli.
 
Nguvu ya Bashite fuatilia History, it will come to pass the same. Kwa kamese na Marehemu SItta alifanya watoto wa nyumbani kuchukiwa na kuonekana mavi na kusikiliza, baada ya nguvu kuisha walimtimua hawamtaki na hawezi kwenda, definitely it will happen the same
 
Uwoga wako ndiyo umasikini wako Nape ni shujaa na ni mfano wa kuigwa kwani hakifutwa uwanachama ndiyo mwisho wa maisha yake?Hata kama wakimfuta uwanachama maisha yatasonga mbele yeye siyo mtoa riziki
Matajiri wote Tanzania ni CCM? kwanza usipokuwa na chama unakuwa huru zaidi unafanya mambo yako kwa kujiachia zaidi.
 
Nauliza tu... hivi ile katiba ya ccm imebadishwa kwenye kipengele cha kugombea urais kwa tiket yao?
 
Ikiwa atafukuzwa uanachama, basi chama cha wanasheria tanganyika kitatetea ubunge wake mahakamani kwa nguvu zooote!!!
 
Mkuu samahani Naomba ufafanuzi hapa sijaelewa Vizuri unaweza kuelezea Vizuri tafadhali?
 
Kinachozidi kujidhihirisha ni kujipambanua kwa pumba na mchele na kiasili NJIWA HARUKI NA BUNDI!

Hongera sana Mh. Nape, umewadhihirishia kuwa wewe ni Mtanzania na si MSAKATONGE. Mungu akujaalie mafanikio katika maisha yako.
 
Ikiwa atafukuzwa uanachama, basi chama cha wanasheria tanganyika kitatetea ubunge wake mahakamani kwa nguvu zooote!!!
Wakimfukuza ataanika Siri zote labda wamuue lakini akiwa hai CCM lazima imomonyoke kwa kasi kubwa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…