Pre GE2025 Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watu wanajua Rais ajaye ni Sa 💯,la kujiandikisha inategemea wanachoma wenu ,makundi mengine hawana mda wa kusubiria stori za Wanasiasa zisizo na msingi
 
Watu wanajua Rais ajaye ni Sa 💯,la kujiandikisha inategemea wanachoma wenu ,makundi mengine hawana mda wa kusubiria stori za Wanasiasa zisizo na msingi
Wataachaje kujua kuwa ni yeye wakati tume ya uchaguzi wanafuata maagizo yake?
 
Kweli 2020 wapiga kura walikuwa wachache mfano kituo nilichosimamia kura waliokuwa kwenye daftari la wapiga kura walikuwa 370 lakini waliojitokeza kupiga kura walikuwa 142 hata nusu hawa kufika kwanza kwa sasa isipopita hamasa kubwa idadi hiyo itapungua sana mwakani
 
kwa hali ya mifumo ya uchaguzi iliyopo upinzani hauwezi kushinda kwa hali ilivyo wapenda haki kwenye uchaguzi wanaweza wasishiriki kwenye uchaguzi na kusababisha wapinzani kupigwa chini.
Naunga mkono hoja, tatizo sio kauli ya Nape, tatizo alichokisema is the reality, hivyo Nape ashukuriwe kutusaidia kulijua hili tu deal nalo. Kuelekea 2025 - Kwa kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu, anastahili kulaumiwa au kupongezwa kwa kuusema ukweli?

Akina sisi tumelizungumza sana hili humu,

Mimi nimeshauri Kuelekea 2025 - Baada ya Mtu Kusema Ukweli Kuhusu Uchaguzi Kuendeshwa kwa Mutatis Mutandis, Tunaomba Uchaguzi Mkuu wa 2025 Uendeshwe kwa Ceteris Peribus!
P
 
Viongozi wa dini nao kimya tu wakati hali inaendelea kuwa mbaya wakemee, dr Kitima katika mahojiano alisema uchaguzi wa 2024/25 utakuwa kama ule wa 2019/2020 baada ya kufanya tathmini yake ya chaguzi ndogo za hivi karibuni. Hii shida ni kubwa tumesikia wananchi wanalalamika,vyama vinalalamika, NGO zinalalamika, TEC na wengine wanalalamika kichinichini sasa nani amfunge paka kengele.
 
Ccm ndiyo wasimamizi wa uchaguzi
Ccm ndiyo wanaohesabu kura
Ulinzi na usalama pia ccm
Sasa kwa hayo tu utamuweza kweli

Ova
 
Wapiga kura wa sasa watakuwa wachache zaidi ya wale hiyo 2020, maana watu wamepoteza hamasa ya siasa, na wamepuuza uchaguzi na siasa kwa ujumla. Na hiki kitendo serekali kuendelea kutaka tume ya uchaguzi iwe chini ya mwenyekiti wa ccm, ndio wapiga kura watakuwa wachache zaidi. Kwa ujumla wananchi wamepuuza uchaguzi na siasa kwa ujumla.
 
Signature yako nimeipenda, huo ni ukweli mtakatifu!!
 
Huyu mshenzi kachafua hali ya hewa vibaya sana.
View attachment 3045971
Hii cartoon ni moto! Mwanaume aliye na "solid pride" hawezi kuendelea kukalia nafasi yake baada matamshi yale na reaction au mlipuko wa kiasi hiki kwenye vyombo vya habari. Ningejiuzulu mara baada ya kuiona hii cartoon! Hivi kweli watoto na wajukuu wanione nimechorwa hivyo??? Nitajihisi kuwa nafsi tupu.
 
Yote hayo watanzania wanayajua vzr sana,hakuna uchaguzi CCM wameshinda hapa Tanzania,toka tumeanza siasa na chaguzi za vyama vingi mwaka 1995.
 
Sidhani ni nape huyu enzi hizo, kwani wakati huo huyu alikuwa kijana mdogo sana mkuu!
 
Kweli hawa wezi,yaani Mil 300 anasema ni hela ndogo sanaa.
Wakati watumishi mbalimbali wanadai madeni yao na hawajalipwa.
Kweli Fisiemi ni nomaa sanaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…