Nape Nnauye: Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi

Chama Cha KIJANI saiz hawapo WAZEE, kama wapo hawasikilizwi. Waziri anafurahia watu wagawane fito jahazi lizame.

Nchi yangu TANZANIA haitazama, ni maombi yangu Mungu wa Mbinguni awaondoe viongozi waovu. Amen.
 
Suala kumsemea mema Kama yapo tumewakabidhi kibajaj na Dr. musukuma Hawa wengine acha waongee kinyume chake....
 
Niko ground daily... Magufuli anasifiwa kwa kujaza wamachinga milangoni mwa watu na barabarani..
Maisha yapo taight kwakuwa mafuta yamepanda Duniani.. Lakini kuna unafuu kwa mbali... Kidogo hata Mahakama zinaanza kupumua hasa kwenye maamuzi..
Umeeleza vizuri sana tatizo lililopo huku kwa ground ni maisha kuwa tight kutokana na kupanda kwa bei ya bidhaa !!
 
Hakuna hata mmoja wa humu jukwaani atakaye kuwepo ! Watakuwepo watoto wao tena watakuwa vikongwe !!!
 
Hakuna hata mmoja wa humu jukwaani atakaye kuwepo ! Watakuwepo watoto wao tena watakuwa vikongwe !!!
Hii habari itaipeleka sisiem jalalani 2025
Wanasemaga na wengine wanaamini kabisa kwamba " Everything is happening for a reason " tusubiri !!!
 
All in all Mungu ndiye mpangaji wa yote, watasema na wao watajibiwa muda ukifika
 
Imagine ni wangapi walikuwa kwenye hit list yake? Na kifo chake wameokoka? Kama jakaya alikuwa ni nxt target nani mwingine angekuwa salama? Tunavuna tunachopanda.
Duh..Jakaya alikuwa next target? Hii mmeitoa wapi?
 
Yuda Eskarioti alimsaliti Yesu na anasemwa kwa hayo mabaya ingawa hata mifupa yake haijulikani ilipo
 
kwakweli hata mimi sipendi kumnanga marehemu kila mwanadamu anamakosa.Mimi si mwanachama wa ccm lakini nashauri tujadili mambo muhimu ya kujenga taifa.Kama alikosea basi tuliopo tusahihishe.
 
Yaani hapo nyukaneni wee mwisho tasema ukweli ... na ww mwandishi wa hii habari nani kakudanganya eti mwenda zake alishinda kwa kura nyingi?..nipo rAdhi kuchagu jiwe lakini sio CCM.
 
Anayeweza kuamua ugomvi wa hawa jamaa ni shetani pekee. Mwenyezi Mungu hafananishwi na tabia za chama.
 
MUNGU yupi huyo anayemtaje? labda mwenye herufi ndogo m!!! mungu aliamua ugomvi au watu fulani waliamua ungomvi!! bora kunyamaza .damu ya mtu haimwachi mtu salama iko siku mtaanza kuropoka.time will tell.
 
Mkuu mbona mchecheto?
Marehemu alivyokuwa akitukana ati msije na mavi yenu mlikuwa mnakenua tu!
Mlifikiri wengine hawaumii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…