Nape Nnauye: Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi

Kama huyo marehemu aliwatenda watu mabaya kipindi akiwa hai Je, watu hawana haki ya kumsema kisa tu ni marehemu?
Nani kakwambia maovu au makosa ya Marehemu hayapaswi kusemwa?
Mfano, kwenye Biblia kuna baadhi ya Wafalme walitenda maovu na maovu yao yameandikwa na kukemewa vibaya ingawa Wafalme hao walishakufa zamani.
 
Stop that nonsense, stop rubbish. Get in to the shoes of Ben saanane parents, wife, kids. AZORY Gwanda and many many others! Well done Nape. Jitu uaji lisemwe mpàka lioze na mifupa itoweke
 
Achà lifeeee3ee3eee3e3
 
Acha hiyo ya eti marehemu hasemwi. ukifa kwa kutenda mabaya utasemwa mpaka basi. Magufuli was a dictator, amepoteza, ameua, amedhulumu etc etc wengi. Akifa acha watu wasee mabaya yake.
Naomba nikumbushwe chanzo cha Mabwe Pande ni kipi?
 
Furaha yangu ni kuona ccm wanatafunana wao kwa wao✌️
 

Ukiwaambia vijana wamziwa wa mdomoni waliorishwa propaganda hawatakuelewa
 
Sijawahi kumkubali Nape. Lakini kama aliongea hayo alikuwa sahihi kabisa.
 
Jamaa amekufa lakini kuna watu.

Kweli Magufuli ilikuwa komesha.

Poleni jamani iwekeni chini haamki huyo.
Komesha kama Shetani/Lucifer alipopigiwa makofi akafikiri naye anaweza kuwa mungu au zaidi. Akatupwa kule na kubinuliwa miguu juu hadi leo tunahadithiana habari zake, unapewa madaraka halafu unakuwa jingajinga tu.
 

Anayejua mahali pema au papaya ni aliyeamua ugomvi.

Aliyekwambia marehemu anasemwa kwa mazuri tu lakini mabaya yake hayasemwi ni nani? Nani amekuloga wewe?

Lewa, telekeza watoto, walale njaa wewe unakuja na mipombe tu halafu utarajie wakuimbie sifa, wataiponda hata kaburi yako kwa mawe shetani mkubwa wewe.

Jangili na lisanamu lenu mliloligeuza mungu wenu na kuliabudu kutwa nzima limeteketezwa sasa mnataka kutushawishi tuendelee kulisifu kwa mazuri likiwa limeoza, sifuni nyie, sisi tuache na ya kwetu
 
Alizuia watu wasimseme yani alitaka maisha ya watu kumtii.

Alikua haambiwi tofauti , hashauriki , mjivuni , mwenye kiburi na dharau.

Sasa watu wataendelea kumsema tu iwe leo , kesho hata keshokutwa na milele ameacha majeraha makubwa kwa taifa kiujumla na kuondoka kwake ni kwa maslahi mapana ya taifa.

Utawala ule wa kishetani kama haukukugusa wewe mtoa mada moja kwa moja basi ukae ukijua ulikugusa kwa namna nyingine aidha ni ndugu ,jamaa au marafiki wako wanayo ya kusimulia kuhusu miaka 6 ya giza.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Imagine ni wangapi walikuwa kwenye hit list yake? Na kifo chake wameokoka? Kama jakaya alikuwa ni nxt target nani mwingine angekuwa salama? Tunavuna tunachopanda.
Hiyo ni habari mpya au mimi nilichelewa kuifahamu Mkuu? Kwamba mkwere alikuwa listed>?
 
Hakuna aliyemchagua alituibia KURA MSIPOTOSHE PIA MAREHEMU LAZIMA ASEMWE KWA MAZURI NA MABAYA YAKE KWANINI TUFICHE MABAYA WAKATI ALIYATENDA? HONGERA SANA NAPE

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Mmmh.anakinyongo sn kwa sbb alikuwa anawadukua mawasiliano yao.poa alifukuza Nape bila kosa baada ya kumkaba makonda shingoni.hawatamsahau.na kinyongo hili hakiishi Leo Wala kesho.kitadumu sn tu.
 


Mtu mwenye akili hawezi kuongea upupu Kama huo.Kwani mwenyezi Mungu ni wa Nape na Membe tu?Hiyo ni akili ya chooni.Watu Kama hawa huwa wanaumbuliwa ili akili za chooni ziwakae vizuri.Kama kweli Mungu ni wa Nape na Membe,tusibiri tutaona.Tutakuja kuandika Tena hapa hapa.
 
JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI alikuwa Genius na Mkombozi wa Tanzania, sio kwa MAUZA UZA yaliyopo sasa.
Akina zero brain(Nape) walipozuiliwa na JPM kuhujumu mali za chama na za umma ndipo walipoanza kumchukia JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…