johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ah wapi!
Hakuna cha mungu wala nini.
Mungu gani huyo anayeachia uporwaji wa demokrasia utendeke waziwazi namna hiyo?
Mungu wa wapi huyo?
Ifikapo 2025 utawasikia ‘twende na Shangazi’.Bila Tume Huru tusahau demokrasia Tanzania.
Watanzania tulifanya kosa kipindi cha mchakato wa katiba mpya kwenye utawala wa JK ndo kipindi ilitakiwa tuwe na katiba nzuri inayowasemea wananchi. Tulitakiwa kungangana mpaka katiba ipatikane.
Kwa sasa itatuchukua muda sana kumpata mtu ambaye angalau atawaza kufanya tena mchakato kama huo!!
Nape aliongoza kura za maoni!Kiongozi bora ni yule anaechaguliwa na wengi na sio na tume baada ya mahera kutii maagizo toka juu
Wamekuibia nini bwashee!akome kumuhusisha Mungu na wizi wa CCM.
Wakati mwingine sir God anakuacha ufanye makosa na kama huto tubu atakuadhibu badae on his own waysAh wapi!
Hakuna cha mungu wala nini....
Nape asimkufuru Mungu hata kumwingiza kwenye mambo ya kishetani yaliyofanywa na CCM, serikali, na Mr. Jiwe.Mbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka wanasiasa na wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.
Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa.
Maendeleo hayana vyama!
Kuongoza sio kuchaguliwaNape aliongoza kura za maoni!
Ifikapo 2025 utawasikia ‘twende na Shangazi’.
Watashiriki tena uchaguzi.
Na baada ya kupigwa, wataanza tena kulia, kana kwamba kuna jipya walilofanyiwa ambalo hawajawahi kufanyiwa huko nyuma!
Marekani wana Tume huru lakini Trump anawapelekesha isivyo kawaida!Upinzani Tanzania walitakiwa waweke mkakati wa kujipanga kudai tume huru mapema kabisa badala ya kusubiri kuzima moto kipindi cha uchaguzi.
Wakija na hoja nzito nina uhakika watasikilizwa ingawa hawana platform ya kusemea tena.
Tusema tu kwa ujumla kuwa na tune huru, ni baada labda ya miaka kumi au zaidi ijayo!