johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Nape mwislamu!Huna dini nape,mungu wako ni tumbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nape mwislamu!Huna dini nape,mungu wako ni tumbo
Uchaguzi ulikuwa huru na wa kidemokrasiaAh wapi!
Hakuna cha mungu wala nini.
Mungu gani huyo anayeachia uporwaji wa demokrasia utendeke waziwazi namna hiyo?
Mungu wa wapi huyo?
Ah wapi!
Hakuna cha mungu wala nini.
Mungu gani huyo anayeachia uporwaji wa demokrasia utendeke waziwazi namna hiyo?
Mungu wa wapi huyo?
sawa labda mungu wa chatoMbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.
Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa.
Maendeleo hayana vyama!
Mbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.
Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa.
Maendeleo hayana vyama!
Ni katika wachache wanaoona umuhimu wa tume huru ya uchaguzi, ukiacha wale wanaojua umuhimu lakini hawataki iwepo. Wewe unajua umuhimu wa tume huru na unataka iwepo. Mbaya sasa ni kwa asilimia kubwa ya Watanzania wasiojua nini maana ya tume huru ya uchaguzi, hivyo hawajui hata umuhimu wake, na serikali haipendi au haitaki kupeleka hii elimu kwa wananchi. Hapo chama kilicho madarakani kikiitisha uchaguzi what do you expect??Upinzani Tanzania walitakiwa waweke mkakati wa kujipanga kudai tume huru mapema kabisa badala ya kusubiri kuzima moto kipindi cha uchaguzi.
Wakija na hoja nzito nina uhakika watasikilizwa ingawa hawana platform ya kusemea tena.
Tusema tu kwa ujumla kuwa na tune huru, ni baada labda ya miaka kumi au zaidi ijayo!
Kwani marekani ni rombo?Marekani wana Tume huru lakini Trump anawapelekesha isivyo kawaida!
Lakini mwisho atakubali tu. Hizo kelele ni za aibu ya kushindwa akiwa madarakani kitu ambacho si cha kawaida. Hapo ndipo unaona umuhimu wa tume huru, hadi aliye madarakani anapigwa na kulia. Sasahivi jeshi na security organs zote zimeshachukua mkondo hana namna.Marekani wana Tume huru lakini Trump anawapelekesha isivyo kawaida!
Baadaye atasema Mungu alimpa Uwaziri na baadaye kumpora!Mbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.
Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa.
Maendeleo hayana vyama!
Atapewa tena!Baadaye atasema Mungu alimpa Uwaziri na baadaye kumpora!
Mungu ni wa kibinafsi sio wa Jumuiya au chama au tumeAh wapi!
Hakuna cha mungu wala nini.
Mungu gani huyo anayeachia uporwaji wa demokrasia utendeke waziwazi namna hiyo?
Mungu wa wapi huyo?
Ndo akili zao, walianza twende na Membe, wakarukia kwa Nyalandu, wakaangukia kwa Lissu na Lissu nae kaangukia kwa beberu lake Amsterdam.Ifikapo 2025 utawasikia ‘twende na Shangazi’.
Watashiriki tena uchaguzi.
Na baada ya kupigwa, wataanza tena kulia, kana kwamba kuna jipya walilofanyiwa ambalo hawajawahi kufanyiwa huko nyuma!
Uleta pumba,ndiyo ninyi mnaenda kuloga mnasema umeenda kuomba mungu ili adui yako afe au afungweMungu ni wa kibinafsi sio wa Jumuiya au chama au tume
Nauye kasema yeye kibinafsi alimuomba Mungu akamsikia wewe kama hakusikii una majini wewe .Mashetani yamekujaa ndio maana Mungu hakusikii
Nenda kwa Mwamposya akayatoe
Kwahiyo yupo mungu wa kiislam?Nape mwislamu!
Kabisa kabisaBila Tume Huru tusahau demokrasia Tanzania.
Watanzania tulifanya kosa kipindi cha mchakato wa katiba mpya kwenye utawala wa JK ndo kipindi ilitakiwa tuwe na katiba nzuri inayowasemea wananchi. Tulitakiwa kungangana mpaka katiba ipatikane.
Kwa sasa itatuchukua muda sana kumpata mtu ambaye angalau atawaza kufanya tena mchakato kama huo!!
hiyo ni mchumia tumboMbunge wa tume