Nape Nnauye: Niliomba Ubunge na Mungu ndiye mpaji, amenipa!

Nape Nnauye: Niliomba Ubunge na Mungu ndiye mpaji, amenipa!

Mbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka wanasiasa na wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.

Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa.

Maendeleo hayana vyama!

!
!
Na Wa Sisiemu Hapo Kwenye Mungu Anamanisha Magufuli
 
Marekani wana Tume huru lakini Trump anawapelekesha isivyo kawaida!

Ila Biden si kashinda ambaye ametoka nje ya chama kilicho madarakani.

Imagine kusingekuwa na Tume Huru maneno anayotoa Trump sasa hv si ungemkuta anaendelea na mhula mwingine?

Tume Huru ni kila kitu kwenye demokrasia bwashee! Otherwise hayo mengine ni maigizo!
 
Mbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.

Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa.

Maendeleo hayana vyama!
Na bao la mkono la 2015 lilifungwa na MUNGU?

Thou shalt not use God's name in vain.
 
Ah wapi!

Hakuna cha mungu wala nini.

Mungu gani huyo anayeachia uporwaji wa demokrasia utendeke waziwazi namna hiyo?

Mungu wa wapi huyo?
Eti Mungu aende kwa mkurugenzi, asubirie mpinzani aje na fomu ziporwe na mtu atokomee?
Huo ndio ushindi wa kumsingizia Mungu?
 
Sintoshangaa Nape kupewa Uwaziri. Kwa sababu ndo watu wa aina hiyo Magufuli anaowataka. Mazwazwa.
 
Mbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.

Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa.

Maendeleo hayana vyama!
Hapa ndipo dhana ya m/Mungu inapoleta utata.
 
Hili nape bado kubwa jinga anajionaga star kuliko ccm . Meko ali mflashia Chooni kama mavi ...naona anajiibua ibua aonekane Kwe teuzi, msumbufu majungu fitina kwishnei
 
Bila Tume Huru tusahau demokrasia Tanzania.

Watanzania tulifanya kosa kipindi cha mchakato wa katiba mpya kwenye utawala wa JK ndo kipindi ilitakiwa tuwe na katiba nzuri inayowasemea wananchi. Tulitakiwa kungangana mpaka katiba ipatikane.

Kwa sasa itatuchukua muda sana kumpata mtu ambaye angalau atawaza kufanya tena mchakato kama huo!!
Yaani unataka mpaka apatikane mtu wa kukutafutia katiba wakati huo ukitafuna mchepuko nyumbani ?
 
Marekani wana Tume huru lakini Trump anawapelekesha isivyo kawaida!
Kule anawapelekesha watu wa kalibu yake watimu yake.ailowateua yeye mwenyewe.
Lakini.

Hapa kwetu usishangae akatimwa mtu na smg akasimama sehemu ya.kujumulishia kura akatekeleza kwa kuwafyeka.

Au akaua hata wananchi wengine tu ilimladi apite.

Trump.anatapatapa ni kama anakata roho.
Ila kama anawafukuza watu aliowateua mwenyeww kuna ubaya gani.
Acha aondoke nao lakini sio kuua wananchi kama wanavyofanya viongoz wa africa.
 
Mbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.

Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa.

Maendeleo hayana vyama!
Labda mungu wa CCM
 
Nape asimkufuru Mungu hata kumwingiza kwenye mambo ya kishetani yaliyofanywa na CCM, serikali, na Mr. Jiwe.

Nape amshukuru shetani maana naye amepewa mamlaka katika Ulimwengu wake wa giza ambao umekuwa Ulimwengu wa CCM kwa kiasi kikubwa.

Mungu wa Nape ni yule aliyeenda kumuomba msamaha pale ikulu. Na huyo ndie aliyempa ubunge.
 
Kule anawapelekesha watu wa kalibu yake watimu yake.ailowateua yeye mwenyewe.
Lakini.

Hapa kwetu usishangae akatimwa mtu na smg akasimama sehemu ya.kujumulishia kura akatekeleza kwa kuwafyeka.

Au akaua hata wananchi wengine tu ilimladi apite.

Trump.anatapatapa ni kama anakata roho.
Ila kama anawafukuza watu aliowateua mwenyeww kuna ubaya gani.
Acha aondoke nao lakini sio kuua wananchi kama wanavyofanya viongoz wa africa.
Kule huwezi kuua siyo jambo dongo
Ila Biden si kashinda ambaye ametoka nje ya chama kilicho madarakani.

Imagine kusingekuwa na Tume Huru maneno anayotoa Trump sasa hv si ungemkuta anaendelea na mhula mwingine?

Tume Huru ni kila kitu kwenye demokrasia bwashee! Otherwise hayo mengine ni maigizo!
Wenzetu kila mtu yupo chini ya sheria na katiba
 
Atakuwa alikuwa anamaanisha Shetani kwa namna ya fitina aliyofanya Hadi kupitishwa bila kupingwa ilikuwa ni ufirauni mtupu
 
Yuko Sahihi 100%, na huo ndio Ukweli Ubunge Safari Hii Wote wanaojihita "Wabunge" Wamepewa na Mungu sio Wapiga Kura, hilo liko Wazi kabisa.
 
Back
Top Bottom