Nape Nnauye: Niliomba Ubunge na Mungu ndiye mpaji, amenipa!

Nape Nnauye: Niliomba Ubunge na Mungu ndiye mpaji, amenipa!

Mbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.

Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa.

Maendeleo hayana vyama!
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787][emoji85]. Mungu alikimbia na forms za Selemani Mathew
 
Ni kweli uongozi unatoka kwa Mungu, lakini uongozi wa Tanzania unatwaliwa kiharamu.
 
Ah wapi!

Hakuna cha mungu wala nini.

Mungu gani huyo anayeachia uporwaji wa demokrasia utendeke waziwazi namna hiyo?

Mungu wa wapi huyo?

Huyo ni ‘mungu’ wa Nape, yeye mwenyewe anamjua huyo ‘mungu’ wake!
 
Ifikapo 2025 utawasikia ‘twende na Shangazi’.

Watashiriki tena uchaguzi.

Na baada ya kupigwa, wataanza tena kulia, kana kwamba kuna jipya walilofanyiwa ambalo hawajawahi kufanyiwa huko nyuma!
Nyani ni nyani tu. Vile huu uchafuzi uliopita ilikuingia akilini ni kwa vipi vyama 15 vilisimamisha wagombea urais? Kuna vyama au wagombea tuliwasikia mara ya kwanza wakitajwa na m/kiti wa NEC. Wagombea na vyama mfu kisiasa vimo kwenye uchafuzi? Hiyo hela ya kupoteza waliipata wapi? Kwenye kampeni hawakuonekana kabisa lakini wanagombea! Walikuwa wa muhimu kuliko mgombea wa Chadema. Walitangulizwa wao yeye kawekwa mwisho. Katika orodha ya wagombea katika uchafuzi hakuwemo. Mpango ulikuwa akataliwe na NEC. Asipitishwe kugombea. Kilipopimwa kina cha maji kikaonekana kirefu. Wakamwacha lakini kura zake zisizidi milioni mbili. Kila mwenye akili timamu aliona huu ni uchafuzi tu. Kushiriki kwao kumethibitisha beyond reasonable doubt uchafuzi!
 
Tusimsingizie Mungu! Amepewa Ubunge na TUME-TISS-POLISI kwa njia ya kudhulumu.
 
Mungu ni wa kibinafsi sio wa Jumuiya au chama au tume

Nauye kasema yeye kibinafsi alimuomba Mungu akamsikia wewe kama hakusikii una majini wewe .Mashetani yamekujaa ndio maana Mungu hakusikii

Nenda kwa Mwamposya akayatoe
Huyuhuyu Mwamposa mtoa makafala ya binadamu wakigombea mafuta uchwara ? Mganga wa mhutu .
 
Labda kapewa ubunge na mungu wa ccm mwenge Nyamrunda ? Lakini sio Mungu Yehova .
 
Mbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.

Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa.

Maendeleo hayana vyama!
Huyu Mungu anasingiziwa kwa mengi sana, na siku ya malipo wengi sana wataumbuka. Yaani uibe kura na kuhujumu wenzako ili upite kwa viti maalumu bila kupingwa halafu ukejeli ni Mungu amekupa? Mwenzio yule sliyekufuru Mungu kwamba apende au asipende ushindi lazima ameshaitwa akajieleze huko....
 
Anamsemea Mungu yupi huyu.Akae atulie siku Mungu wa kweli atakapomshukia ndo atajua atakachompa.Hivyo vyeo na madaraka wanayopeana kwa kufanya wengine wajinga visiwafanye wakadhihaki.
 
He
Ah wapi!

Hakuna cha mungu wala nini.

Mungu gani huyo anayeachia uporwaji wa demokrasia utendeke waziwazi namna hiyo?

Mungu wa wapi huyo?
Mkuu kumbe umebadilika na kuona uhalisia au na kufananisha !
Hukuwa mwimba mapambio wewe!?
 
Mbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.

Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa.

Maendeleo hayana vyama!
Umepata ila viti maalum.
 
Ah wapi!

Hakuna cha mungu wala nini.

Mungu gani huyo anayeachia uporwaji wa demokrasia utendeke waziwazi namna hiyo?

Mungu wa wapi huyo?
Mungu hana cha demokrasia ! Mungu husimika tuu ! Ndivyo alivyofanya ! Full stop na tuchape kazi sasa ! Uchaguzi umekwishaaaa !
 
Back
Top Bottom