Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
Mbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka wanasiasa na wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.
Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa.
Maendeleo hayana vyama!
Marekani wana Tume huru lakini Trump anawapelekesha isivyo kawaida!
Na bao la mkono la 2015 lilifungwa na MUNGU?Mbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.
Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa.
Maendeleo hayana vyama!
Eti Mungu aende kwa mkurugenzi, asubirie mpinzani aje na fomu ziporwe na mtu atokomee?Ah wapi!
Hakuna cha mungu wala nini.
Mungu gani huyo anayeachia uporwaji wa demokrasia utendeke waziwazi namna hiyo?
Mungu wa wapi huyo?
Hapa ndipo dhana ya m/Mungu inapoleta utata.Mbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.
Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa.
Maendeleo hayana vyama!
Yaani unataka mpaka apatikane mtu wa kukutafutia katiba wakati huo ukitafuna mchepuko nyumbani ?Bila Tume Huru tusahau demokrasia Tanzania.
Watanzania tulifanya kosa kipindi cha mchakato wa katiba mpya kwenye utawala wa JK ndo kipindi ilitakiwa tuwe na katiba nzuri inayowasemea wananchi. Tulitakiwa kungangana mpaka katiba ipatikane.
Kwa sasa itatuchukua muda sana kumpata mtu ambaye angalau atawaza kufanya tena mchakato kama huo!!
Kule anawapelekesha watu wa kalibu yake watimu yake.ailowateua yeye mwenyewe.Marekani wana Tume huru lakini Trump anawapelekesha isivyo kawaida!
Labda mungu wa CCMMbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.
Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa.
Maendeleo hayana vyama!
Nape asimkufuru Mungu hata kumwingiza kwenye mambo ya kishetani yaliyofanywa na CCM, serikali, na Mr. Jiwe.
Nape amshukuru shetani maana naye amepewa mamlaka katika Ulimwengu wake wa giza ambao umekuwa Ulimwengu wa CCM kwa kiasi kikubwa.
Kule huwezi kuua siyo jambo dongoKule anawapelekesha watu wa kalibu yake watimu yake.ailowateua yeye mwenyewe.
Lakini.
Hapa kwetu usishangae akatimwa mtu na smg akasimama sehemu ya.kujumulishia kura akatekeleza kwa kuwafyeka.
Au akaua hata wananchi wengine tu ilimladi apite.
Trump.anatapatapa ni kama anakata roho.
Ila kama anawafukuza watu aliowateua mwenyeww kuna ubaya gani.
Acha aondoke nao lakini sio kuua wananchi kama wanavyofanya viongoz wa africa.
Wenzetu kila mtu yupo chini ya sheria na katibaIla Biden si kashinda ambaye ametoka nje ya chama kilicho madarakani.
Imagine kusingekuwa na Tume Huru maneno anayotoa Trump sasa hv si ungemkuta anaendelea na mhula mwingine?
Tume Huru ni kila kitu kwenye demokrasia bwashee! Otherwise hayo mengine ni maigizo!
Mkiristo lakini sina diniWewe dini gani?
Au pagani!
Sema huna dhehebu!Mkiristo lakini sina dini
Huna dini nape,mungu wako ni tumboMbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.
Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa.
Maendeleo hayana vyama!