Nape Nnauye: Niliomba Ubunge na Mungu ndiye mpaji, amenipa!

Ah wapi!

Hakuna cha mungu wala nini.

Mungu gani huyo anayeachia uporwaji wa demokrasia utendeke waziwazi namna hiyo?

Mungu wa wapi huyo?

Mungu wake labda ni hilo jambazi kutoka Chato Magu fool
 
Mbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.

Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa.

Maendeleo hayana vyama!

mungu gani anasaidia madudu haya
Your browser is not able to display this video.

??
 
Ni katika wachache wanaoona umuhimu wa tume huru ya uchaguzi, ukiacha wale wanaojua umuhimu lakini hawataki iwepo. Wewe unajua umuhimu wa tume huru na unataka iwepo. Mbaya sasa ni kwa asilimia kubwa ya Watanzania wasiojua nini maana ya tume huru ya uchaguzi, hivyo hawajui hata umuhimu wake, na serikali haipendi au haitaki kupeleka hii elimu kwa wananchi. Hapo chama kilicho madarakani kikiitisha uchaguzi what do you expect??
 
Huu ni unaphiq wa taifa, kwahiyo leo ameikana sisiem...😕😕
 
Marekani wana Tume huru lakini Trump anawapelekesha isivyo kawaida!
Lakini mwisho atakubali tu. Hizo kelele ni za aibu ya kushindwa akiwa madarakani kitu ambacho si cha kawaida. Hapo ndipo unaona umuhimu wa tume huru, hadi aliye madarakani anapigwa na kulia. Sasahivi jeshi na security organs zote zimeshachukua mkondo hana namna.
 
Mbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.

Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa.

Maendeleo hayana vyama!
Baadaye atasema Mungu alimpa Uwaziri na baadaye kumpora!
 
Ah wapi!

Hakuna cha mungu wala nini.

Mungu gani huyo anayeachia uporwaji wa demokrasia utendeke waziwazi namna hiyo?

Mungu wa wapi huyo?
Mungu ni wa kibinafsi sio wa Jumuiya au chama au tume

Nauye kasema yeye kibinafsi alimuomba Mungu akamsikia wewe kama hakusikii una majini wewe .Mashetani yamekujaa ndio maana Mungu hakusikii

Nenda kwa Mwamposya akayatoe
 
Ifikapo 2025 utawasikia ‘twende na Shangazi’.

Watashiriki tena uchaguzi.

Na baada ya kupigwa, wataanza tena kulia, kana kwamba kuna jipya walilofanyiwa ambalo hawajawahi kufanyiwa huko nyuma!
Ndo akili zao, walianza twende na Membe, wakarukia kwa Nyalandu, wakaangukia kwa Lissu na Lissu nae kaangukia kwa beberu lake Amsterdam.
 
Mungu ni wa kibinafsi sio wa Jumuiya au chama au tume

Nauye kasema yeye kibinafsi alimuomba Mungu akamsikia wewe kama hakusikii una majini wewe .Mashetani yamekujaa ndio maana Mungu hakusikii

Nenda kwa Mwamposya akayatoe
Uleta pumba,ndiyo ninyi mnaenda kuloga mnasema umeenda kuomba mungu ili adui yako afe au afungwe
Mungu pamoja na wizi dhurma na unafiki?
Shame on you.

Ndiyo ninyi mnaenda kwa manabii wenu wa uwongo kuombewa ili anayekudai asahau.
Pumbavu Mungu yupo ivo
 
Kabisa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…