Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787][emoji85]. Mungu alikimbia na forms za Selemani MathewMbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.
Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa.
Maendeleo hayana vyama!
Ah wapi!
Hakuna cha mungu wala nini.
Mungu gani huyo anayeachia uporwaji wa demokrasia utendeke waziwazi namna hiyo?
Mungu wa wapi huyo?
Kura....!!Wamekuibia nini bwashee!
Nyani ni nyani tu. Vile huu uchafuzi uliopita ilikuingia akilini ni kwa vipi vyama 15 vilisimamisha wagombea urais? Kuna vyama au wagombea tuliwasikia mara ya kwanza wakitajwa na m/kiti wa NEC. Wagombea na vyama mfu kisiasa vimo kwenye uchafuzi? Hiyo hela ya kupoteza waliipata wapi? Kwenye kampeni hawakuonekana kabisa lakini wanagombea! Walikuwa wa muhimu kuliko mgombea wa Chadema. Walitangulizwa wao yeye kawekwa mwisho. Katika orodha ya wagombea katika uchafuzi hakuwemo. Mpango ulikuwa akataliwe na NEC. Asipitishwe kugombea. Kilipopimwa kina cha maji kikaonekana kirefu. Wakamwacha lakini kura zake zisizidi milioni mbili. Kila mwenye akili timamu aliona huu ni uchafuzi tu. Kushiriki kwao kumethibitisha beyond reasonable doubt uchafuzi!Ifikapo 2025 utawasikia ‘twende na Shangazi’.
Watashiriki tena uchaguzi.
Na baada ya kupigwa, wataanza tena kulia, kana kwamba kuna jipya walilofanyiwa ambalo hawajawahi kufanyiwa huko nyuma!
Huyuhuyu Mwamposa mtoa makafala ya binadamu wakigombea mafuta uchwara ? Mganga wa mhutu .Mungu ni wa kibinafsi sio wa Jumuiya au chama au tume
Nauye kasema yeye kibinafsi alimuomba Mungu akamsikia wewe kama hakusikii una majini wewe .Mashetani yamekujaa ndio maana Mungu hakusikii
Nenda kwa Mwamposya akayatoe
Huyu Mungu anasingiziwa kwa mengi sana, na siku ya malipo wengi sana wataumbuka. Yaani uibe kura na kuhujumu wenzako ili upite kwa viti maalumu bila kupingwa halafu ukejeli ni Mungu amekupa? Mwenzio yule sliyekufuru Mungu kwamba apende au asipende ushindi lazima ameshaitwa akajieleze huko....Mbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.
Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa.
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu kumbe umebadilika na kuona uhalisia au na kufananisha !Ah wapi!
Hakuna cha mungu wala nini.
Mungu gani huyo anayeachia uporwaji wa demokrasia utendeke waziwazi namna hiyo?
Mungu wa wapi huyo?
Umepata ila viti maalum.Mbunge wa Mtama mkoani Lindi mh. Nape Nnauye amewataka Wanasiasa na Wananchi kuwaheshimu viongozi kwani urais hutoka kwa Mungu.
Nape ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye aliomba ubunge na Mungu amempa.
Maendeleo hayana vyama!
mungu wake ni CCMHuna dini nape,mungu wako ni tumbo
Mungu hana cha demokrasia ! Mungu husimika tuu ! Ndivyo alivyofanya ! Full stop na tuchape kazi sasa ! Uchaguzi umekwishaaaa !Ah wapi!
Hakuna cha mungu wala nini.
Mungu gani huyo anayeachia uporwaji wa demokrasia utendeke waziwazi namna hiyo?
Mungu wa wapi huyo?
Hilo asahau katika awamu hiiSintoshangaa Nape kupewa Uwaziri. Kwa sababu ndo watu wa aina hiyo Magufuli anaowataka. Mazwazwa.
Kweli ?Nape mwislamu!