Nape Nnauye: Tuhangaike kujenga mifumo imara na siyo kutumainia mtu mmoja

Nape Nnauye: Tuhangaike kujenga mifumo imara na siyo kutumainia mtu mmoja

Hii Hoja ikienda Bungeni inaweza ikakutana na upinzani mkubwa kuliko tunavodhania.

Hilo bunge ambalo wabunge zaidi ya 70% wameingia kwa maagizo ya Magufuli ndio hiyo hoja iwe na upinzani mkubwa?! Ingekuwa waliingia kwa kura halali za wananchi hapo sawa.
 
Nape anafanya vema kama kuwakosea watanzania aliwakosea na aliwaumiza acha asimame kwenye ukw

Toka lilivyoenda kuomba msamaha likiwa limepiga magoti, nimelidharau vibaya sana.
 
Mifumo tayari imewekwa culture ya utendaji kazi imebadilika serikalini sasa hivi mteja mfalme ile culture ya mfumo zembe ya mtu kujiona Mungu mtu kwa wananchi imekufa sasa hivi ni mtu kutumikia wananchi

Mfumo bila kujenga culture ni hopeless .Magufuli kahakikisha culture ya utendaji kazi inabadilika.Mfano sasa hivi mtendaji kijiji au kata ana nguvu ya kusimamia miradi eneo lake kuhakikisha iko kwenye kiwango vinginevyo anakuripoto ngazi ya juu kwa ubabaishaji

Huko nyuma tulikuwa na mifumo ndani ya chama na serikali lakini ilikuwa hopeless inafuga wazembe na matapeli na vibaka na mafisadi ndani ya chama na serikali.Magufuli kafanya mapunduzi makubwa kiasi kuwa atakayekuja kumpokea hatapata shida kuongoza
 
Kwasasa kilichobadilika ni propaganda ya kuadress matatizo. Lakini utendaji bado ni uleule. Vyombo vya habari vingekuwa huru huu utapeli wa kuwa eti ofisi za umma zimebadilika zingekuwa wazi. Matatizo hayawezi kuisha kwa kuwa serikali imezuia hayo matatizo kutangazwa.
 
Kwasasa kilichobadilika ni propaganda ya kuadress matatizo. Lakini utendaji bado ni uleule. Vyombo vya habari vingekuwa huru huu utapeli wa kuwa eti ofisi za umma zimebadilika zingekuwa wazi. Matatizo hayawezi kuisha kwa kuwa serikali imezuia hayo matatizo kutangazwa.
Shida ya sasa watanzania wanageuka kuwa mambumbumbu kisa hawapati taarifa sahihi ,zinazowafikia ni pambio kupitia redio,tv,magazeti na social media za utambulishi usio na kificho.
 
sio kweli sasa hivi utendaji serikalini uko juu mno vyombo vya habari havina cha kuandika sasa hivi kuhusu utendaji wa kizembe serikalini ni almost haupo

taja eneo walau moja lenye uzembe humu
Sio hamna cha kuandika ila vinaogopa ile adhabu ya tisiaraei 25m,ama vifungo virefu vya kufanya kazi,sii gazeti,sii redio wala tiivii
 
Nape anaunga mkono harakati za January Makamba kuusaka Urais 2025
 
Kwanini nikifungua attachment kama hii iliyowekwa kwenye bandiko hili la Nape napelekwa kwenye homepage ya JF na attachment yenyewe haifunguki? Nakosea wapi?
 
Ndumila kuwili hawa Mkuu, kakosa ulaji sasa ndiyo anatia akili kichwani. Angekuwa Waziri asingethubutu kutamka haya.
Hahahaa Nape kwish habari yake. Angekuwa Waziri na yeye angekuwa anasema apewe 5+2+7. Wote hawa ni hopeless bunch of losers.

Magufuli kawakata korodani. Hakuna rangi wataacha kuona. Magufuli wanaye mpaka Israel amchukue. Kinyago chao wenyewe kinawatesa.
 
Nape amemwagwa amekuwa kama demu aliyevunja ungo jana

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Wewe na mimi wa washabiki wa JPM ila wenye mawazo ya kumuongea muda hawamtakii mema. JPM amechapa kazi ambayo ingetumia miaka 30 kwa mtu kama JK. Akimaliza 10 yake ang’antuke kwa heshima zote. Kubaki hata siku moja kutaondoa yote na ataanza kuharibu. Angalia mifano kama M7 au Kagame. Ninavyomjua JPM hataongeza hata sekunde na huo ndiyo uanaume
 
Watu kama akina Nape ndo wanajidai kuijua siasa na kujua mbinu. Tatizo alipokuwa serikalini alidhani anafaa sana wakati ni upendeleo tu. Kwa ubora wake Nape hana sababu ya kusikilizwa la maana. Suala la kujenga mfumo ni ombi la kila nchi na kila siku then nani asimamie huo mfumo? Miaka 60 ya uhuru bado hakuna msimamizi wa mfumo.
 
Hii Hoja ikienda Bungeni inaweza ikakutana na upinzani mkubwa kuliko tunavodhania.
Watakao jaribu kupinga mashangazi zao watakumbana na kipigo cha mbwa mwitu. Hili jiwe kuondoka kwake ni mpk Israel aingilie Kati tu.
 
Back
Top Bottom