Hii Hoja ikienda Bungeni inaweza ikakutana na upinzani mkubwa kuliko tunavodhania.
Nape anafanya vema kama kuwakosea watanzania aliwakosea na aliwaumiza acha asimame kwenye ukw
Kwamba huo ukweli aliosema haujaona au umejitoa ufahamu. Sisi hatutaki kujua habari ya yeye kumwagwa au kuchotwa tunachojua kasema ukweli.Nape amemwagwa amekuwa kama demu aliyevunja ungo jana
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Na lilimulikwa na makamera hadi aibuToka lilivyoenda kuomba msamaha likiwa limepiga magoti, nimelidharau vibaya sana.
Shida ya sasa watanzania wanageuka kuwa mambumbumbu kisa hawapati taarifa sahihi ,zinazowafikia ni pambio kupitia redio,tv,magazeti na social media za utambulishi usio na kificho.Kwasasa kilichobadilika ni propaganda ya kuadress matatizo. Lakini utendaji bado ni uleule. Vyombo vya habari vingekuwa huru huu utapeli wa kuwa eti ofisi za umma zimebadilika zingekuwa wazi. Matatizo hayawezi kuisha kwa kuwa serikali imezuia hayo matatizo kutangazwa.
Sio hamna cha kuandika ila vinaogopa ile adhabu ya tisiaraei 25m,ama vifungo virefu vya kufanya kazi,sii gazeti,sii redio wala tiiviisio kweli sasa hivi utendaji serikalini uko juu mno vyombo vya habari havina cha kuandika sasa hivi kuhusu utendaji wa kizembe serikalini ni almost haupo
taja eneo walau moja lenye uzembe humu
Hahahaa Nape kwish habari yake. Angekuwa Waziri na yeye angekuwa anasema apewe 5+2+7. Wote hawa ni hopeless bunch of losers.
Magufuli kawakata korodani. Hakuna rangi wataacha kuona. Magufuli wanaye mpaka Israel amchukue. Kinyago chao wenyewe kinawatesa.
Wewe na mimi wa washabiki wa JPM ila wenye mawazo ya kumuongea muda hawamtakii mema. JPM amechapa kazi ambayo ingetumia miaka 30 kwa mtu kama JK. Akimaliza 10 yake ang’antuke kwa heshima zote. Kubaki hata siku moja kutaondoa yote na ataanza kuharibu. Angalia mifano kama M7 au Kagame. Ninavyomjua JPM hataongeza hata sekunde na huo ndiyo uanaumeNape amemwagwa amekuwa kama demu aliyevunja ungo jana
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Watakao jaribu kupinga mashangazi zao watakumbana na kipigo cha mbwa mwitu. Hili jiwe kuondoka kwake ni mpk Israel aingilie Kati tu.Hii Hoja ikienda Bungeni inaweza ikakutana na upinzani mkubwa kuliko tunavodhania.