Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Kwa mtu duni kama wewe kutumia nembo ya Taifa ni matusi kwa raia wa Tanzania , nachukua nafasi nafasi hii kuiomba JF ipige marufuku hiyo nembo kutumiwa na wajingaNape amemwagwa amekuwa kama demu aliyevunja ungo jana
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mkuu tindo Nape japo aliomba msamaha na sasa akarudi kwenye kundi la ''kuabudu'' lakini rohoni hajakaa sawa na anajua kabisa huyu jamaa uongozi hauwezi. Ni kwamba hana namna tu ya kufanya kwani aliyeshika makali ni bwana yule. Hata Kinana. Ilkuwa tu hamna jinsi. Kifupi ni kuwa CCM kuna watu wengi tu wanaugulia chini chini ila ''ukichaa'' wa bwana yule ndiyo unawafanya wakae kimya. Na mbaya zaidi wanajua wananchi wa Tanzania ni watu wasio na msaada kama watakwenda against mungu mtu. Listi iko ndefu hata kina Makamba J wako ndani. Kufanya mambo kuwa mabaya zaidi wanajua mungu mtu akiendelea kuwepo eg kuongezewa muda ndiyo maangamizi yao kwani anaonekana hana mpango nao kabisa.Nape apongezwe na nani, hapa baadhi ya watu wanasifu alichoongea maana ni ajabu kwa mnafiki kama yeye kuongea kinyume na lugha za kumtukuza yesu wa ccm.
Wewe bado unamsoma huyu jamaa? Mimi nilishamuweka kwenye listi ya watu ninawa-ignore na chochote anachoandika sikioni.Kwa mtu duni kama wewe kutumia nembo ya Taifa ni matusi kwa raia wa Tanzania , nachukua nafasi nafasi hii kuiomba JF ipige marufuku hiyo nembo kutumiwa na wajinga
Endelea kuosha vyombo na kusafisha nyumba ya Lema akija akukute na kabendi akutoe baruKwa mtu duni kama wewe kutumia nembo ya Taifa ni matusi kwa raia wa Tanzania , nachukua nafasi nafasi hii kuiomba JF ipige marufuku hiyo nembo kutumiwa na wajinga
Mifumo ni tatizo pamoja na deficiency skills za wasimamiaji wenyewe.Mchanganyiko wa pumba na mchele kwenye andiko. Ujumbe ni kwamba tujenge mifumo bora na sio kumtegemea mtu mmoja ambaye ukiangalia style yake ya uongozi pia ina mapungufu mengi
Unawajua wasiojulikana wewe?Hii Hoja ikienda Bungeni inaweza ikakutana na upinzani mkubwa kuliko tunavodhania.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumwamini Nape ni sawa na kumwamini mama Diamond Platinums
.Ndugu Nape alipohojiwa kuhusu vuguvugu la kumuongezea Rais Magufuli muda wa utawala wake amesema haya yafuatayo.
1. Kwanza anashangazwa na kwamba ndiyo kwanza miaka mitano ya muhula wa pili wa utawala wa Rais Magufuli umeanza halafu watu wanaanza kuzungumza ya baadae, wakati haya waliyoomba kura kwayo hawajayamaliza.
2. Pili anashangazwa na watu wanaowaza utadhani wana ahadi na Mwenyezi Mungu kuhusu kujua nani atakuwepo kesho na nani hatakuwepo.
3. Anasema, Kilicho cha msingi ni kujenga mifumo imara ili hiyo mifumo iweze kulinda mafanikio yaliyopatikana na tusigeuze mtu kuwa ndo mafanikio yenyewe maana watu huja na kuondoka na Mungu ndo anapanga uhai wa watu.
MY TAKE
Msimamo wa Nape ni msimamo mzuri, wanaotaka Magufuli abaki madarakani kinyume cha katiba ya sasa hao wanajali maslahi yao binafsi na si ya nchi yetu. hawana tofauti na wale ambao Nyerere alisema kila alipotaka kung'atuka walimwambia Mzee endelea bila wewe nchi itayumba kumbe ikaja kugundulika walikuwa wanajali matumbo yao binafsi, walikuwa hawana uhakika kuwa akitoka madarakani basi Rais ajaye atawalindia nyadhifa zao!
Msikilize wewe mwenyewe hapa:
View attachment 1697614
MSIMAMO WA RAIS MAGUFULI KUHUSU KUONGEZA MUDA NI HUU HAPA CHINI
View attachment 1697758
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hana lolote, wampe uwaziri tu utasikia anaimba LITAKE LISITAKE..
Mkuu kwa iyo unaamini Mungu yupo? Kwasababu hoja namba mbili 'Pili anashangazwa na watu wanaowaza utadhani wana ahadi na Mwenyezi Mungu'.Hoja namba 2 na 3 nimeshaziandika sana hapa.
Ndugu Nape alipohojiwa kuhusu vuguvugu la kumuongezea Rais Magufuli muda wa utawala wake amesema haya yafuatayo....
Duuuuuh hatareeeh sana.Nape CCM yenu ishawatema hamna chenu... yaani wewe na wenzako ni kama sisi tu...uliopokonywa form za uteuzi njiani.
tena shukuru mno bila kupiga magoti hata hako ka ubunge ungekasikia kwa radio.
Ndugu Nape alipohojiwa kuhusu vuguvugu la kumuongezea Rais Magufuli muda wa utawala wake amesema haya yafuatayo.
1. Kwanza anashangazwa na kwamba ndiyo kwanza miaka mitano ya muhula wa pili wa utawala wa Rais Magufuli umeanza halafu watu wanaanza kuzungumza ya baadae, wakati haya waliyoomba kura kwayo hawajayamaliza.
2. Pili anashangazwa na watu wanaowaza utadhani wana ahadi na Mwenyezi Mungu kuhusu kujua nani atakuwepo kesho na nani hatakuwepo.
3. Anasema, Kilicho cha msingi ni kujenga mifumo imara ili hiyo mifumo iweze kulinda mafanikio yaliyopatikana na tusigeuze mtu kuwa ndo mafanikio yenyewe maana watu huja na kuondoka na Mungu ndo anapanga uhai wa watu.
MY TAKE
Msimamo wa Nape ni msimamo mzuri, wanaotaka Magufuli abaki madarakani kinyume cha katiba ya sasa hao wanajali maslahi yao binafsi na si ya nchi yetu. hawana tofauti na wale ambao Nyerere alisema kila alipotaka kung'atuka walimwambia Mzee endelea bila wewe nchi itayumba kumbe ikaja kugundulika walikuwa wanajali matumbo yao binafsi, walikuwa hawana uhakika kuwa akitoka madarakani basi Rais ajaye atawalindia nyadhifa zao!
Msikilize wewe mwenyewe hapa:
View attachment 1697614
MSIMAMO WA RAIS MAGUFULI KUHUSU KUONGEZA MUDA NI HUU HAPA CHINI
View attachment 1697758
Hii ni moja ya hoja nzito na yenye mashiko tangu bunge linaloendelea lianze,nchi ikiwa na mifumo imara na inayoeleweka Taifa haliwezi kuwa na hofu na yajayo.Ndugu Nape alipohojiwa kuhusu vuguvugu la kumuongezea Rais Magufuli muda wa utawala wake amesema haya yafuatayo.