Tunaongea mambo muhimu ya kitaifa na siyo mambo ya chama.
Tunhitaji katiba mpya kuliko tulivyokuwa tunamhitaji Magufuli.
Nini kinafuata kama aliyetegemewa kama Mungu ameondoka? Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kumfanya nguzo yake huku moyoni amemwacha Bwana.
Magufuli ni Mtanzania wa kawaida tu. Tunachotaka ni katiba mpya ambayo kila mtu atasimama juu yake, taifa litaongozwa kwa mujibu wa katiba na siyo kwa mujibu wa mtu mmoja.
Ni upumbavu kumtegemea binadam atuongoze wakati tunajua kabisa bila katiba nzuri hatuwezi kufika mbali.
Yanayokuja sasa ni vichekesho, keshaondoka aliyetegemewa kama Mungu. Vituko vinaanza na hawa mbwa CCM wataipeleka nchi pabaya
tungekuwa na katiba nzuri ingekuwa sio issue kwa sababu tunatembea juu ya katiba.
Tuamke sasa tuidai nchi yetu na kamwe tusifanye tena makosa ya kumtegemea binadam.
Wafuasi wote na wapambe Mwigulu Nchemba na wezake ni wa kutupwa mbali na tusiwakumbuke tena kwa sababu walishiriki kwenye uharibifu wa taifa letu.