Mkuu watanzania tuko wepesi wa kupokea mambo au jambo bila ya kufanya tafakari ya kina.Chukulia kwa mfano serikali haitaki uandike habari za ngorongoro katika mambo hasi wewe kama mwandishi umeandika kitu cha kweli kuhusu ngorongoro lakini Kiko hasi kwa upande wa serikali na hawataki kiandikwe, watamchukulia hatua mwandishi wa habari na ndo utakuwa mwisho wa habari hiyo kwenda kwa umma wa watanzania.Matokeo yake habari zitakazo andikwa ni zile chanya tu kwa serikali.Hapo tutakuwa tuko pale pale.Kwa kuzingatia umuhimu wa vyombo vya habari na Kwa kuwa vyombo vya habari ni mhimili wa nne wa serikali napendekeza pawepo meza huru ya kutatua migogoro ya wanahabari au board ili mwanahabari akikosea meza hii au board imwambie hapa mwenzetu umekosea hivyo unapaswa kupokea adhabu.Hii itaondoa upendeleo kwani serikali haitaweza kumuonea mwandishi kirahisi rahisi tu.Huyo chawa unadhani hata anajua anachokiongea? Anajaribu kulinganisha vitu ambavyo havilinganishiki. Kwa upande mmoja, prescription anayoitoa doctor kwa mgonjwa haihitaji approval ya hospital au chief medical officer kabla ya kufanyiwa utekelezaji. Kwa upande mwingine, hakuna kazi ya mwandishi wa habari inayoweza kuwa published bila ya approval ya editor-in-chief, ambaye ndiyo agent wa publication inayohusika!
Uchawa ni profession kamili.
Yapo mengi ya kujikumbusha lakini mfano halisi upo Spensa Lameck aliyekuwa analipoti habari za Mgombea Urais CHADEMA -2015 na amini alifanyiwa vigusu nyingi baada ya uchaguzi ili hali Emannuel Buhohela akila mema ya nchi inauma sana Africa ni Africa tu.