Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Haoa hatuwezi unganisha dots kabisa ivi huyo kijana wenu alivochukua magaribya watuhumiwa alikuwa anamanisha nini?
 
Acha uongo bhna. TVE hwajaanza kurusha matangazo ya mojakwa moja
 
Nimejaribu fuatilia Speech aliyoitoa Muda Huu Mfupi,Inasikitisha Sana Ameitoa kwa Hisia sana,Mwenyezi Mungu akusimamie na Hongera Sana kwa Kusimamia Ukweli...


Demokrasia ya Kweli Umeionyesha kwa kusema ukwel Mh. Nape
 
Nimefurahi sana kwa vile sheria wametunga wenyewe kwa wingi wao bungeni ndio wajifunze
 
Mwananchi online wameripoti kwa amehutubia barabarani kisha amechukuliwa na polisi kuelekea kusikojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…