Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

MALIPO HAPAHAPA DUNIANI

ALIPIGA BAO LA MKONO WAKATI ANAWANIA UBUNGE,,,,,,,,,,,,,,,

NA YEYE ATULIE LEO KAPIGWA BAO LA MKONO

GO MAKONDA GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

😛😛😀😀😀🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
Kweli ukishirikiana na mzee wako Kinana ndio mliyemsaidia mgonjwa CCM asife, sasa kapata ahueni unaoneka huna maana tena kwa mgonjwa. Lakini usijali siku zote anaefaidi mazao ya shamba sio mkulima bali ni mlaji, kapumzike Kaka.
 
Absolutely kupanic na kuanza kurukaruka hakuna maana yeyote, kwanza kapata taarifa za kuondolewa akiwa Arusha angechukua hotel ajichimbie hata 2 weeks ashushe presha then ndio aelekee zake Mtama kuwatumikia watu wake sasa hivi nikujichongea
 
Aaa we kwendraa kanye mavi hukoo we utajilinganisha na nape sasa. Kwa taarifa yako nape siyo mwenzako hata akiamua kwenda chadema sasa hivi ( japo najua hawezi) hakuna wa kumwambia nyoko yeyote.
Anaifahamu ccm na hata hao wenye ccm wanamjua siyo huyo mtusi aliyetumwa kuiharibu hii nchi. Unakula kwa shemeji yako unamsema nape? Nothing to fear but fear itself
 
NI aibu kuwa na rais ambae anazuia hadi press conference!! Wale mbwa wanaosemaa kwamba JPM ni jasiri; sasa kama ni jasiri anaogopa vp hata press conference!! Huyu mtu hafai hata kidogo na lazima uwe mgonjwa wa akili ndipo unaweza kumuunga mkono!!
Mbwa ni wewe usiyeelewa nini usalama wa taifa. Usicheze na serikali iliyopo madarakani. Magufuli hoyeeee! Wauza ngada walimtukana sana kikwete. Wembe ndo huu kum am amaye!
 

Mwenye full video aiweke hapa jinsi nape alivyo nyanyuliwa na kurudishwa kwenye gari kwa mababe na wana usalama wa Taifa.

Hii ni nchi huru kweli au tunadanganyana?
 
Absolutely kupanic na kuanza kurukaruka hakuna maana yeyote, kwanza kapata taarifa za kuondolewa akiwa Arusha angechukua hotel ajichimbie hata 2 weeks ashushe presha then ndio aelekee zake Mtama kuwatumikia watu wake sasa hivi nikujichongea
Anajichongea kwa nani? Amekosea kitu gani nape mbwa wewe. Unamtolea mtu bastola kwa kosa lipi? Mmesahau nape alivyoisaidia ccm mpaka imeingia ikulu leo mnakuja na hadith za ajabu ajabu. Mavi yako
 
Kuna video mange kaposti huko instagram inamuonyesha nape mnauye akidhalilishwa na watu wa usalama kwa kweli ni inasikitisha
 
Sasa aliyewatuma hao polisi wakupige stop ni mshikaji wako wa karibu bwn Mwigulu ama ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ya mkoa?
 
KITENDO CHA KUMSHIKIA WAZIRI MFUKUZWA MH.NAPE BASTOLA ASIONGEE NA WAANDISHI NI ISHARA TOSHA YA NCHI INAVYOPELEKWA. HAKUNA ALIYEKO SALAMA. SIKU YAJA HISTORIA YA TANZANIA ITABADILIKA ASUBUHI MOJA. HATARI SANA. LAKINI NAPE NAKUSHUKURU UMEONYESHA USHUJAA. WEWE NI MWANASIASA MZURI KILIKO WENGI CHAMANI NA NCHINI. UNAIJUA SIASA NA SONGA MBELE. CHA MUHIMU TAFAKARI KILA HATUA YAKO KUANZIA SASA KUENDELEA MBELE. WANAKULAUMU KUZUIA BUNGE - SIO WEWE. WEWE ULITUMWA TU NA HUKUWA NA JINSI NA ALIYEKUTUMA ALISHAJITAMBULISHA...UKATUAMBIWA CCM ITASHINDA HATA KWA BAO LA MKONO, TUKAKUTUKANA. LAKINI HATIMAYE NDICHO KILICHOFANYIKA----KUMBE WEWE ULUTUAMBIA TU UKWELI ULIOKWISHAPANGWA. SASA NAKUSHAURI KWAMBA KWA KUWA UNA WATU NYUMA YAKO - HASA VIJANA NA MEDIA, UNA UWEZO MKUBWA JUKWAANI, AKILI NZURI, JINA KUBWA LA BABA ASIYEKUWA NA MAKUU, UNA NGUVU YA KUTENDA NA AFYA NJEMA, JIPANGE. KAWAOMBE TU RADHI WATU WAZIMA ULIOWAHI KUWATUKANA NA KUWADHALILISHA, THEN SONGA MBELE.MKONO WA MUNGU UTAKUWA JUU YAKO. TANZANIA KWANZA.
 
Loooh, hahha huu mchezo hautaji hasira.
 
Dah....wacha movie liendelee. Call Me J....
 
Haaa haaaa wataelewa nini maana ya katiba ya wananchi,walifikiri itatukomoa sisi kumbe hata wao wanakatwa vichwaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…