Mimi sio mpenzi wa sisiem lakini namshauri Nape atulize munkari, atafakari sana halafu arudi nyuma miaka iliyopita na kuwakumbuka kina Kombe, Kolimba na Kighoma Malima. Naamini familia yake bado inamhitaji sana. Anadai hii ni nchi huru, YES na ya kidemokrasia!!!? Nafikiri itategemea uko upande gani wa wakina Donald Trump wa Bongoland.
Ndo ivo bwana nimeiona video nape amedhalilishwa
Inafikia hatua unatolewa bastola hadharani...kisa nini?? Au order kutoka juu
Huyu hata nyerere angekuepo angemuweka ndani tu mana ni dikteta 100%
Inasikitisha kwa kweli hayo mambo ya mtu kuvutwa shati na kusukumiwa kwenye gari tulikuwa tumezoea kuona watu kama wakina Lema na Sugu wakifanyiwa sasa leo duh... hadi aibu kwa kweli