Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Sasa wewe unadhani mtu mmoja akiondoka ndo anaua chama.. Akishaondoka lowasa.. CCM ni kubwa Sana ipo mwanza, Dodoma, kote mtu mmoja hawezi kubadili mitizamo ya wanachama wengi ambao wapo kwenye MTANDAO Mpana wa vijana, wazee, wa mama na Wazazi
Imeandikwa kuwa mwanzo wa hesabu ni moja
 
ALIYE TOA BASTOLA KWA AKILI YA HARAKA HARAKA LAZMA ATAKUWA NI MMOJA WA WALIOVAMIA KITUO CHA CLOUDS AKIAMBATANA NA MKUU WA MKOA WA DSM YANI ANAONEKANA KABISA AMETUMWA KWA HULKA KABISA.
 
Mwalim KASHASHA hii red card ya NAPE unaizungumziaje?

Asante JESE JOHN hii card ya nape ni kama ya kujitakia mwenyewe na pia naweza kusema ni ya kizembe na ameigharimu timu yake.

Mwanzoni ilionekana nape ni mchezaji msumbufu alikuwa anashambulia sana na amekosa nafasi nyingi za wazi za kumfunga makonda.tatizo kubwa alilonalo nape alikuwa anashambulia alaf anasahau kurudi nyuma haraka kuzuia.
Alaf kuna muda kama alikuwa anacheza na jukwaa na pia kama alitaka kuwafurahisha wapinzan badala ya kocha wake.alikuwa hafuati maelezo ya kocha kwasababu alijiona ni profeshno.

Sasa makonda alivyoona kuwa nape anashambulia sana lango lake akawa anacheza kwa timing kwanza akawa anatuliza mashambulizi ya nape nakuanzisha long pass ambazo zilifanikiwa japo sio sana.
Akaamua kuanzisha kazi moja tu nayo nikucheza eneo la nape na kumkera kera tu kwa vile alijua nape ni mtu wa hasira kwa hiyo akimchokoza lazma nape atapaniki na akipaniki refa tafanya kazi yake.
ndipo makonda akaamua kumchokoza chokoza nape kama vile materaz kwa zidane.

Nape alishindwa kuvumilia ndipo akarusha teke ambalo limemgharimu na refa amempa kadi ya moja kwa moja.huu ni uzembe wa wachezaji wetu alishindwa kujifunza kwa mwakyembe.

Mm nasema hii ni kadi ya kizembe sana.
Na ile timu itabaki kuwa teja kwa ccm kwasababu hata 2015 yule kocha wao alisema tusipoitoa ccm madarakani mwaka huu hatutaitoa tena milele.
Kwa hyo hapo sion njia yoyote ya kuwatoa hawa ccm kwenye michuano hii.

Kwako jese john
 
Ninyi ni wale wale tu. Ukinyanyua pua. Jiandae na sekeseke.
Chapa kazi acha umbea !!
 
Askar ana mamlaka gani ya mkunyosheaa mbunge bastola ikiwa mbunge hajafanya kosa la jinai?
 
Sasa huyo Mwakyembe kumpa hiyo nafasi, yani ndio kama wamefungulia bomba la wezi wa kucopy kazi za wasanii. Yani sahivi kama ni video au wimbo ndio itaibiwa bado ipo booth house au location.
 
Trick zimezd,Tusinogewe na next epsode tukasahau current, tukikubali tuu ndo bas tena hakuna rewind, na la vyeti tutakua tumelifukia
 
Nashangaa kuna baadhi ya mijitu humu mijinga kweli eti leo yanasema NAPE shujaa kwa Ushujaa gani Mmesahau alichotufanyia 2015 kwene Uchaguzi? Hayo ni Malipo ya dhambi zake Muosha huoshwa na Malipo ni hapa hapa Duniani Chaaaaa
 
ndege JOHN: umehitimisha kila kitu.

Wewe unayesoma bandiko langu, kama unajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya au una ndugu, ione ishara ya kukamatwa. Ama ujisalimishe au ujiue.

TANZANIA BILA MADAWA YA KULEVYA INAWEZEKANA - huo ndiyo ujumbe
Ujumbe murua kabisa.
 
Sema tu watz waoga inabidi siku tupewe roho za wajahidina kwa wiki moja tukitifue nchi hii.
 
"...Siku ni kubwa sana inaweza kubadili maisha yako kwa namna ya ajabu sana...."

Baba Yangu
 
Back
Top Bottom