jamaaa atakuwa alikuepo kwenye msafara wa bashite cloudsAskar ana mamlaka gani ya mkunyosheaa mbunge bastola ikiwa mbunge hajafanya kosa la jinai?
jamaaa atakuwa alikuepo kwenye msafara wa bashite cloudsAskar ana mamlaka gani ya mkunyosheaa mbunge bastola ikiwa mbunge hajafanya kosa la jinai?
Huyu jamaaa mbona hueleweki huu si wakati wa ngonjera kaaa na ukada wako.Mwalim KASHASHA hii red card ya NAPE unaizungumziaje?
Asante JESE JOHN hii card ya nape ni kama ya kujitakia mwenyewe na pia naweza kusema ni ya kizembe na ameigharimu timu yake.
Mwanzoni ilionekana nape ni mchezaji msumbufu alikuwa anashambulia sana na amekosa nafasi nyingi za wazi za kumfunga makonda.tatizo kubwa alilonalo nape alikuwa anashambulia alaf anasahau kurudi nyuma haraka kuzuia.
Alaf kuna muda kama alikuwa anacheza na jukwaa na pia kama alitaka kuwafurahisha wapinzan badala ya kocha wake.alikuwa hafuati maelezo ya kocha kwasababu alijiona ni profeshno.
Sasa makonda alivyoona kuwa nape anashambulia sana lango lake akawa anacheza kwa timing kwanza akawa anatuliza mashambulizi ya nape nakuanzisha long pass ambazo zilifanikiwa japo sio sana.
Akaamua kuanzisha kazi moja tu nayo nikucheza eneo la nape na kumkera kera tu kwa vile alijua nape ni mtu wa hasira kwa hiyo akimchokoza lazma nape atapaniki na akipaniki refa tafanya kazi yake.
ndipo makonda akaamua kumchokoza chokoza nape kama vile materaz kwa zidane.
Nape alishindwa kuvumilia ndipo akarusha teke ambalo limemgharimu na refa amempa kadi ya moja kwa moja.huu ni uzembe wa wachezaji wetu alishindwa kujifunza kwa mwakyembe.
Mm nasema hii ni kadi ya kizembe sana.
Na ile timu itabaki kuwa teja kwa ccm kwasababu hata 2015 yule kocha wao alisema tusipoitoa ccm madarakani mwaka huu hatutaitoa tena milele.
Kwa hyo hapo sion njia yoyote ya kuwatoa hawa ccm kwenye michuano hii.
Kwako jese john
lisu alishatoa jibu kwamba tz kunanrais wa aina gani.Muda si mrefu tutaanza kutandikana risasi kwa sababu za kisiasa..Rais hata miaka miwili bado lakini watu hawana hamu nae
Piga ua la vyeti hatulipotezei ng'ooo
Mkuu Yupo Mungu anafanya kazi waache kumuona Gwajima kama kichaa mimi mdogo kwa kajina sipo upande ule nitawapa kila kitu,MWIGULU wamepanga kumpoteza kabisa,Siro hajui kwa sababu lile tamko wanahisi ni MWIGULU kkamtuma Siro angaliaaa usiogopeKukosa uwaziri siyo mwisho wa maisha atulie afanye siasa kwenye level ya ubungmune
Nimeipenda sana hii comment"...Siku ni kubwa sana inaweza kubadili maisha yako kwa namna ya ajabu sana...."
Baba Yangu
Sure, ila ni anguko chief, ni kama kiranja kavuliwa ukiranja then anaachwa kuwa mwanafunzi wa kawaida..
Tunahitaji vyeti tuPiga ua la vyeti hatulipotezei ng'ooo
Mtu kupoteza kazi kizembe inakuwa ushujaa.
Nape kapotea chance muhimu ya kuitumikia nchi kupitia uwazir. Kitu ambacho kinaweza kisijirudie ndan ya miaka 15 ijayo.