Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,520
- 6,517
No no no. Usimfananishe Nape na Mahanga. Nape ana influence kubwa ndani ya chama huyo Mahanga hakumfikia hata robo. Nape alikuwa ni sehemu ya muhimili kipindi cha kampeni na alisaidia sana. Mimi si ccm kabisa na nafurahi inapopata misukosuko, lakini ukweli nausema.Kauli alizozitoa leo hakika maji yamemfika shingoni. Humu tunamfariji kwa maneno ambayo ni kama kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Hana tena hayo madaraka.
Mawaziri wangapi wametemwa lakini haukuitisha waandishi wa habari!! Bado Nape ni mchanga katika siasa - AMEJIMALIZA. Namfananisha na Dr Mahanga ati kahama CCM kwa kuwa alikaa na Unaibu Waziri muda mrefu, du, vijana wetu kupenda ukuu!!