Kuna wanasiasa ambao hawajachakachuliwa, wanasiasa hasaa, watu wanaofikiria siasa, wenye malengo ya kisiasa, wapambanaji mpaka tone la mwisho la damu yao, watu ambao maisha hayawezi kuendelea bila wao kuonekana, watu tunaowahitaji kama Nape Nnauye.
Ni watu tunaotumia nguvu nyingi sana kupambana nao wakiwa upande wa pili na kwa haki au kwa mbinu hatujawahi kuwashinda. Nasema hatujawahi kuwashinda maana bado hatujaingia ikulu.
Mhe. Mbowe, Nape is a worthy acquisition!
Sio mbaya tukiwa kama Barcelona, tukawa na Messi, Suarez
na Neymar.
Kama uliweza kumleta Lowasa basi hautashindwa kumleta Nape. Now is the time, we have enough advantage to bring him over, for him and for us. The equilibrium favours us and please don't wait for it to Change.
Investment yoyote itakayoingia kumleta Nape itarudi mara mia . WHY NOT? Ni kijana na ni moja kati ya wale government looking like material, usisahau ana fan base pia.
Mwenyekiti nakukubali, born town kitambo bado watu wanachungulia uchi wa ng'ombe huko Chato. Fanya kweli!