Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

Huyu jamaaa mbona hueleweki huu si wakati wa ngonjera kaaa na ukada wako.
 
Yani huyu Bashite kawa untouchable[emoji22][emoji22][emoji22] hii nchi inaelekea wapi???
 
Yawezekana mzee akampatia ka mkuu ka mkoa fulani si umeona anafanya yaleyale tu kutoa huku kuweka kule. Bado tupo porini.
 
Nape ulifanya kosa kubwa sana kuwaamini ccm .. Nilishasema ccm sichama chakuamini maana toka uhulu ndicho chama kilicho ongoza na kinacho ongoza mpaka sasa kila uchaguzi kinaahidi neema kwa wanaicnhi wake lkn mpaka leo hakuna hatamoja kililo lifanya ..sasa nakushangaa mueshimiwa Nape ww kama msomi unawezaje kuwa amini hawaongo ccm..au ulipoingia ccm ukapoteza uwezo wakufiki
 
Kuna wanasiasa ambao hawajachakachuliwa, wanasiasa hasaa, watu wanaofikiria siasa, wenye malengo ya kisiasa, wapambanaji mpaka tone la mwisho la damu yao, watu ambao maisha hayawezi kuendelea bila wao kuonekana, watu tunaowahitaji kama Nape Nnauye.

Ni watu tunaotumia nguvu nyingi sana kupambana nao wakiwa upande wa pili na kwa haki au kwa mbinu hatujawahi kuwashinda. Nasema hatujawahi kuwashinda maana bado hatujaingia ikulu.

Mhe. Mbowe, Nape is a worthy acquisition!
Sio mbaya tukiwa kama Barcelona, tukawa na Messi, Suarez
na Neymar.

Kama uliweza kumleta Lowasa basi hautashindwa kumleta Nape. Now is the time, we have enough advantage to bring him over, for him and for us. The equilibrium favours us and please don't wait for it to Change.
Investment yoyote itakayoingia kumleta Nape itarudi mara mia . WHY NOT? Ni kijana na ni moja kati ya wale government looking like material, usisahau ana fan base pia.

Mwenyekiti nakukubali, born town kitambo bado watu wanachungulia uchi wa ng'ombe huko Chato. Fanya kweli!
 
Kukosa uwaziri siyo mwisho wa maisha atulie afanye siasa kwenye level ya ubungmune
Mkuu Yupo Mungu anafanya kazi waache kumuona Gwajima kama kichaa mimi mdogo kwa kajina sipo upande ule nitawapa kila kitu,MWIGULU wamepanga kumpoteza kabisa,Siro hajui kwa sababu lile tamko wanahisi ni MWIGULU kkamtuma Siro angaliaaa usiogope
 
Mbona sijaona maoni yangu hapo?!Au nishakuw sio staa tena?!
 
Sure, ila ni anguko chief, ni kama kiranja kavuliwa ukiranja then anaachwa kuwa mwanafunzi wa kawaida..

Kauli alizozitoa leo hakika maji yamemfika shingoni. Humu tunamfariji kwa maneno ambayo ni kama kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Hana tena hayo madaraka.

Mawaziri wangapi wametemwa lakini haukuitisha waandishi wa habari!! Bado Nape ni mchanga katika siasa - AMEJIMALIZA. Namfananisha na Dr Mahanga ati kahama CCM kwa kuwa alikaa na Unaibu Waziri muda mrefu, du, vijana wetu kupenda ukuu!!
 
Mtu kupoteza kazi kizembe inakuwa ushujaa.
Nape kapotea chance muhimu ya kuitumikia nchi kupitia uwazir. Kitu ambacho kinaweza kisijirudie ndan ya miaka 15 ijayo.
 
Mtu kupoteza kazi kizembe inakuwa ushujaa.
Nape kapotea chance muhimu ya kuitumikia nchi kupitia uwazir. Kitu ambacho kinaweza kisijirudie ndan ya miaka 15 ijayo.

ungeleta mfano wake huo uzembe aliofanya.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…