Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

No no no. Usimfananishe Nape na Mahanga. Nape ana influence kubwa ndani ya chama huyo Mahanga hakumfikia hata robo. Nape alikuwa ni sehemu ya muhimili kipindi cha kampeni na alisaidia sana. Mimi si ccm kabisa na nafurahi inapopata misukosuko, lakini ukweli nausema.
 
Bavichaa na bawachaa muendelee hivyohivyo kumuita Nape shujaa hata atakapoteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM.

Maana mnajua kupenda sioeee tunawashukuru kwa kupenda jembe la CCM....endeleeni hicyohivyo na siku moja msije mkakana maneno yenu
 
....muosha huoshwa...no hard feelings for nape really...maana hawa ndio wamemweka huyu mtu madarakani kwa goli la mkono....Lissu kapiga sana kelele akiwaambia yatawarudi....sasa yanatokea kwao wenyewe....wafu wanazikana live....yetu macho....
 
Katibu mkuu wa CCM kwa bastola ile? 😉😉😉
 
ukiona wapinzani wako wanakusifia ujue unatatizo...guyz hii vita ni ngada hayo mengine blah blah tu hawawauza ngada ni smart sana wanaweza nunua media kukukwamisha...Mara ngapi tumemlaumu makonda kuhusu wafadhili wake haswa clouds waliokuwa wanampa airtime!? kwamba wanahusika na ngada especially mabosi wa CMG!? So tumesahau hili!?
 
....muosha huoshwa...no hard feelings for nape really...maana hawa ndio wamemweka huyu mtu madarakani kwa goli la mkono....Lissu kapiga sana kelele akiwaambia yatawarudi....sasa yanatokea kwao wenyewe....wafu wanazikana live....yetu macho....
Hili ni fundisho watunge sheria ambazo zipo fair kwa watu wote.
 
NAPE NI SHUJAA LET HONEST NA LOWASSA NI FISADI NA MAMBO ALIYOSEMA YALIKUWA YA KWELI. I JUST STATING FACTS, PLEASE DO NOT COMPARE MANGOES WITH PEACHES.
 
Zitto,Nape,Lowasa,Lipumba and Dr Silaa
CCM hata wakiwakodi Alshabab wanang'oka mapema sana
Mbowe fanya kitu watu mtaan wamechoka
Inawezekana hata tusisubir 2020
 
Akwende zake tu hana uzalendo wowote huyo, refer wakati wa kampeni na matangazo ya bunge live
 
kitendo cha nape kutolewa bastola ni kitendo cha ajabu nape ameipigania ccm sana
 
Mtu kupoteza kazi kizembe inakuwa ushujaa.
Nape kapotea chance muhimu ya kuitumikia nchi kupitia uwazir. Kitu ambacho kinaweza kisijirudie ndan ya miaka 15 ijayo.
Wengi ambao wana madaraka, wana akili kama yako ndo maana mabadiliko hakuna. Watu wasiokuwa na principle. Wasiokuwa na leadership skills.
 
Haya Nape huyoooo chadema nakwambia acha ngoma iendelee hapo Bagdadi. Mkuu anatulindia nchi yetu
 
Mkuu kusema kuwa ametoka kivyake mpaka kufika alipo,daa! huwa inaniwia ngumu kidogo kuelewa,ni kulewa madaraka au ndo uhalisia wenyewe,Ukija kwa Makonda inaniwia pia ugumu kumtofautisha kutoka kwake na nyumba ya Mkwere ingawaje pia inaniwia ngumu kutofautisha Clouds media na familia ya mkwere.Sasa haka ka movie baina ya Makonda na Clouds Media vipi hakaatarishi uhusiano na Mkwere aliye mtoa Mkuu wa nchi na Makonda au ni Muda rasmi wa kujenga Ngosha Empire kwa kusahau kila kilicho tokea nyuma?,wapembuzi wa mambo tutoeni tongo tongo kwenye hili
 
Wengi ambao wana madaraka, wana akili kama yako ndo maana mabadiliko hakuna. Watu wasiokuwa na principle. Wasiokuwa na leadership skills.

Jamani akina January Makamba, Mwigulu Nchemba, Jakaya Mrisho Kikwete, Abraham Kinana, Joseph Sinde Warioba, Ali Hassan Mwinyi, and Benjamin Mkapa where are you?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…