Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,349
- 3,046
Slaaa hakufukizwa alijiondoa mwenyewe ... ila Nape kavunjiwa heshima halafu nusura auwawe kwa bastola ... umeona tofauti hapo eh!!!Haya mahaba ya upinzani kwa Nnape yanathihirisha kuwa upinzani huwa wana ugonjwa wa kusahau haraka sana.
Dr Slaa pamoja na kupigania chadema kutoka wabunge wawili hadi wabunge 20, Slaa alivunjwa mkono pamoja na mke wake kuharibiwa mimba wakiwa Arusha. Mwisho wa Siku Dr Slaa alifukuzwa chadema dakika za mwisho na chama kuuziwa Chadema!! Leo hii yote hayo chadema wamesahau wako bize kumuonea huruma Nape Nauye kada wa ccm!!
Swali la kujiuliza, tangu lini chadema na upinzani kwa ujumla wakaitakia mema CCM??
What do you mean by this... ??? Hakuna aliye msafi lakini.Nape was never a saint far from it Bunge Live fiasco comes to mind, but when you go out swinging thats how we will always remember you!!
Kwani vyombo vya habari vipo ccm, turudi kwenye msingi wa hojaHaya mahaba ya upinzani kwa Nnape yanathihirisha kuwa upinzani huwa wana ugonjwa wa kusahau haraka sana.
Dr Slaa pamoja na kupigania chadema kutoka wabunge wawili hadi wabunge 20, Slaa alivunjwa mkono pamoja na mke wake kuharibiwa mimba wakiwa Arusha. Mwisho wa Siku Dr Slaa alifukuzwa chadema dakika za mwisho na chama kuuziwa Chadema!! Leo hii yote hayo chadema wamesahau wako bize kumuonea huruma Nape Nauye kada wa ccm!!
Swali la kujiuliza, tangu lini chadema na upinzani kwa ujumla wakaitakia mema CCM??
Kweli bwana alimtimuasubiri Makonda aje kumtimua hapo
CCM haibadilishi uongozi baada ya miaka kumi!hilo siyo kweli.upngozi wa CCM huwa ni baada ya miaka mitano, wanachugua mwenyekiti kama Rais akiwa madarakani inapigwa kula ya ndiyo na sekeretarieti yenyewe inabadilishwa baada ya huo mda.Bila shaka yeyote Nape amepigania chama sana huwezi hata kulinganisha na Mtoto yeyote wa kigogo ndani ya chama hicho.kumbuka kijana alitokea Uvccm pamoja na kina Emmanuel Nchimbi.
Kukosa uwaziri siyo mwisho wa maisha atulie afanye siasa kwenye level ya ubunge
Well said. salute.Waliyemsaidia kupata ushindi wa goli la mkono sasa anawapiga wao magoli ya mkono. Kweli upandacho ndicho utakachovuna.
Hawa akina Nape, Bashe wajiandae kisaikolojia tu. Ngosha hawezi kuwarudisha mjengoni kwa ticketi ya CCM.Amesau anyepitisha majina ya ubunge mwenyekiti ana kura ya veto.
Aendelee kujisahau ataenda kuomba kazi clouds
Nape naye anawapa ugumu?Vita dhidi ya madawa ya kulevya Ni ngumu sana
Wanataka kututoa kwenye reli ili tusahau issue ya vyetiHili halina mjadala lazima aweke cheti mezani
Mtanyooka tu nyie magamba wanachama kila siku wanatokaBavichaa na bawachaa muendelee hivyohivyo kumuita Nape shujaa hata atakapoteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM.
Maana mnajua kupenda sioeee tunawashukuru kwa kupenda jembe la CCM....endeleeni hicyohivyo na siku moja msije mkakana maneno yenu
Kati ya nape na mtoa "mtandao pendwa" nani ana laana!!?Nape ana laana ya kudharau wakubwa. zake alikuwa anamuita Dr. Slaa babu na majina mengine ya kejeli ccm aliikuta na ataiacha aache kujigamba kuwa aliikuta ccm hoi ccm. Ilikuwa inasumbuliwa na makundi
Mkuu achananaye,humu makopo yapo kibao!Brother this is not about wauza unga... hakuna mtu anapinga hii vita... bali ishu hapo kuvamia clouds... na mitutu kujarib kulazimisha jambo lifanyike... ndio imefanya nape kafikia hapa.
Ishu ya kuvamiwa clouds na ishu ya madawa ya kulevya vina uhusiano gani?