Eng Nyahucho
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 688
- 1,156
Kasome instagram sms aliyoipost boss wako (Mwigulu Nchemba) ndio uje hapa kutoa povu lako. Usifikiri bastola inatolewa kirahisi kiasi hicho kama alivyofanya bashite mwenzakomode swala hili linahitaji mjadala uliojitegemea.
katika makosa makubwa ni pamoja na KUMZUIA AFISA WA USALAMA kutekeleza majukumu yake kama alivyokusudia au kuagizwa.
Maulid kitenge kwa kutafuta sifa, alimzuia afisa usalama waziwazi kutekeleza majukumu yake huku akihatarisha usalama wa afisa huyo kwa kumkaba na kumsukuma sukuma ihali akijua BASTOLA ya AFISA HUYO ilikuwa tayari imeshawekwa katika firing mode, kama wote tulivyoshuhudia akiikoki kabla.
kwa makosa haya NAMKUMBUSHA mwanasheria mkuu wa serikali, kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa kinondoni, na mamlaka zoote kumshitaki maulid kitenge ili iwe FUNDISHO kwa woote wenye tabia kama zake
Ha h ha ha.mode swala hili linahitaji mjadala uliojitegemea.

Hongera kwa tuliokuelewa.Wasiokuelewa watakutukana sana.Katika makosa makubwa ni pamoja na KUMZUIA AFISA WA USALAMA kutekeleza majukumu yake kama alivyokusudia au kuagizwa.
Maulid kitenge kwa kutafuta sifa, alimzuia afisa usalama waziwazi kutekeleza majukumu yake huku akihatarisha usalama wa afisa huyo kwa kumkaba na kumsukuma sukuma ihali akijua BASTOLA ya AFISA HUYO ilikuwa tayari imeshawekwa katika firing mode, kama wote tulivyoshuhudia akiikoki kabla.
kwa makosa haya NAMKUMBUSHA mwanasheria mkuu wa serikali, kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa kinondoni, na mamlaka zoote kumshitaki maulid kitenge ili iwe FUNDISHO kwa woote wenye tabia kama zake
Nilikosea Mkuu. Nilitaka kumjibu mtoa mada.Acha kukurupuka mkuu,kwani nimemtaja kwa baya/mabaya gani???
mode swala hili linahitaji mjadala uliojitegemea.
katika makosa makubwa ni pamoja na KUMZUIA AFISA WA USALAMA kutekeleza majukumu yake kama alivyokusudia au kuagizwa.
Maulid kitenge kwa kutafuta sifa, alimzuia afisa usalama waziwazi kutekeleza majukumu yake huku akihatarisha usalama wa afisa huyo kwa kumkaba na kumsukuma sukuma ihali akijua BASTORA ya AFISA HUYO ilikuwa tayari imeshawekwa katika firing mode, kama wote tulivyoshuhudia akiikoki kabla.
kwa makosa haya NAMKUMBUSHA mwanasheria mkuu wa serikali, kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa kinondoni, na mamlaka zoote kumshitaki maulid kitenge ili iwe FUNDISHO kwa woote wenye tabia kama zake
"..., rafiki yangu Lowassa anadhani ikulu ni wodi ya wagonjwa.., (ovyo).., anadhani ikulu wodi ya wagonjwa, na wenzake akina Mbowe.., wakamdanganya, lakini kila akiuangalia muziki wa CCM, breki za mwili zinaendelea kulegea.., ndio maana mambo yake yanaharibika ovyo.., la kwanza kubwa, watanzania hatutaki Rais wa majaribio, hatuwezi kuwa na Rais wa majaribio, Rais ambaye tukimwambia akakague majeshi yetu hawezi huyo hafai...., juzi nilikuwa Mbeya, vijana wale wakapiga Push-ups, nikauliza yule Fisadi anaweza.., wakasema atajisaidia jukwaani achana nae...."
- Nape Moses Nnauye, Iringa, Mkutano wa kampeni za CCM, 28.09.2015
Hizi pumba usilete humu.mode swala hili linahitaji mjadala uliojitegemea.
katika makosa makubwa ni pamoja na KUMZUIA AFISA WA USALAMA kutekeleza majukumu yake kama alivyokusudia au kuagizwa.
Maulid kitenge kwa kutafuta sifa, alimzuia afisa usalama waziwazi kutekeleza majukumu yake huku akihatarisha usalama wa afisa huyo kwa kumkaba na kumsukuma sukuma ihali akijua BASTOLA ya AFISA HUYO ilikuwa tayari imeshawekwa katika firing mode, kama wote tulivyoshuhudia akiikoki kabla.
kwa makosa haya NAMKUMBUSHA mwanasheria mkuu wa serikali, kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa kinondoni, na mamlaka zoote kumshitaki maulid kitenge ili iwe FUNDISHO kwa woote wenye tabia kama zake
Siasa za kampeni, ila kabidilika mpeni ushirikiano"..., rafiki yangu Lowassa anadhani ikulu ni wodi ya wagonjwa.., (ovyo).., anadhani ikulu wodi ya wagonjwa, na wenzake akina Mbowe.., wakamdanganya, lakini kila akiuangalia muziki wa CCM, breki za mwili zinaendelea kulegea.., ndio maana mambo yake yanaharibika ovyo.., la kwanza kubwa, watanzania hatutaki Rais wa majaribio, hatuwezi kuwa na Rais wa majaribio, Rais ambaye tukimwambia akakague majeshi yetu hawezi huyo hafai...., juzi nilikuwa Mbeya, vijana wale wakapiga Push-ups, nikauliza yule Fisadi anaweza.., wakasema atajisaidia jukwaani achana nae...."
- Nape Moses Nnauye, Iringa, Mkutano wa kampeni za CCM, 28.09.2015
Katika makosa makubwa ni pamoja na KUMZUIA AFISA WA USALAMA kutekeleza majukumu yake kama alivyokusudia au kuagizwa.
Maulid kitenge kwa kutafuta sifa, alimzuia afisa usalama waziwazi kutekeleza majukumu yake huku akihatarisha usalama wa afisa huyo kwa kumkaba na kumsukuma sukuma ihali akijua BASTOLA ya AFISA HUYO ilikuwa tayari imeshawekwa katika firing mode, kama wote tulivyoshuhudia akiikoki kabla.
kwa makosa haya NAMKUMBUSHA mwanasheria mkuu wa serikali, kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa kinondoni, na mamlaka zoote kumshitaki maulid kitenge ili iwe FUNDISHO kwa woote wenye tabia kama zake
Kha Protea siyo hotel ya Mbowe na wala haijawahi kuwa hata siku moja.Anenda ktk hotel ya Mbowe daadek safi sana
Umejuaje alikuwa afisa usalama ikiwa hakujitambulisha, Au wewe ni BF wa Bashite?Hongera kwa tuliokuelewa.Wasiokuelewa watakutukana sana.