PhD za hivi ni za kuchunguzaMwakyembe Phd haina kazi anaenda kufanyia kazi Diploma yake ya Habari
Amedhalilisha sana PhD aisee anajifanya amebobea sheria anashindwa kujua hata kama cheti cha kuzaliwa hakihitajiki kwenye ndoa
narudia tena kwa hili la Nape, mawaziri wa CCM kaeni kimya! tena mkae kimya kabisa kama hamna uwezo wa kujiuzulu! ni aibu sana kujifanya mnamuonea huruma mwenzenu wakati leo mtajitokeza kwa wingi wakati wa kuapishwa!!
Mh Mwigulu Nchemba, ujasiri wako na uzalendo wako wa kuvaa skafu na Tai ya bendera ya Tz, ujasiri huu unaishia kwenye twitter pekee?
Mh January ujasiri wako ulioonyesha kwenye inshu ya viroba , uko wapi katika hili?
Mh Mwakyembe, unajisikiaje moyoni kwenda kukaa kwenye kiti cha Nape?
mawaziri wa CCM, kuna maisha baada ya uwaziri, katika hili kama mimi ningekuwa waziri ningejiuzulu nibaki na ubunge wangu!
acheni unafiki wa kuumia gizani na kushangilia gizani!!
mimi ni mtu ninayeichukia CCM kwa moyo wangu wote, kwa akili zangu zote, na kwa nguvu zangu zote, ni kweli nilikasirika sana Nape kupewa wizara ya habari na hata inshu ya bunge live nilichukia sana.... lakini kitendo alichofanyiwa mh Nape, hakika nitawashangaa mawaziri wa CCM wakiendelea kukaa kimya katika hili....
Akili yako yote umemwachia BashiteKatika makosa makubwa ni pamoja na KUMZUIA AFISA WA USALAMA kutekeleza majukumu yake kama alivyokusudia au kuagizwa.
Maulid kitenge kwa kutafuta sifa, alimzuia afisa usalama waziwazi kutekeleza majukumu yake huku akihatarisha usalama wa afisa huyo kwa kumkaba na kumsukuma sukuma ihali akijua BASTOLA ya AFISA HUYO ilikuwa tayari imeshawekwa katika firing mode, kama wote tulivyoshuhudia akiikoki kabla.
kwa makosa haya NAMKUMBUSHA mwanasheria mkuu wa serikali, kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa kinondoni, na mamlaka zoote kumshitaki maulid kitenge ili iwe FUNDISHO kwa woote wenye tabia kama zake
Wewe ni njinga sana, yule alikuwa ni askari kweli au kibaka? The guy was not smart enough kuitwa askari, ningekuwa Kitenge ningenyang'anya bastola na kumuwasha za miguu, maana hakuwa na weredi wa Kiaskari.Katika makosa makubwa ni pamoja na KUMZUIA AFISA WA USALAMA kutekeleza majukumu yake kama alivyokusudia au kuagizwa.
Maulid kitenge kwa kutafuta sifa, alimzuia afisa usalama waziwazi kutekeleza majukumu yake huku akihatarisha usalama wa afisa huyo kwa kumkaba na kumsukuma sukuma ihali akijua BASTOLA ya AFISA HUYO ilikuwa tayari imeshawekwa katika firing mode, kama wote tulivyoshuhudia akiikoki kabla.
kwa makosa haya NAMKUMBUSHA mwanasheria mkuu wa serikali, kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa kinondoni, na mamlaka zoote kumshitaki maulid kitenge ili iwe FUNDISHO kwa woote wenye tabia kama zake
Hana ushujaa wowote alitukana sana wapinzani huyu acha nae asome namba nyambafDuuhh balaa shujaa nape ongea tu
Am so sorry![emoji120] [emoji120] [emoji120]Nilikosea Mkuu. Nilitaka kumjibu mtoa mada.
KabisaWewe utakuwa chizi, na ni ulimbukeni wa kujipendekeza kwa makonda ndo unakusumbua!! Usije ukawa shoga!!! ID yako tu inaashiria hivyo!!!!; Watu tunahoji mambo ya msingi ya utendaji wa viongozi wewe unaleta kebehi kwa maslahi ya nani? Unajua watu wengi hawana kazi kwa kutenda kosa linalofanana na la makonda? Mpuuzi kabisa wewe usikute hata makonda hakujui umebaki Kazi yako kufagilia upumbavu!!!!
Acheni unafiki nyie CCM mtaungua wore.. Mnataka kusema nape ndo kawa jasiri kuliko kina Lema, Lisu na Mbowe? Acheni undakindaki, tena angekua Lema pale asingesukumwa sukumwa tu angekula virungu vya kutosha na kubebwa mzobemzobe. Nyie vipi bwanaPoint ya msingi sana ila nani atathubutu...
Kwa hali ilivyo sasa inataka moyo ... Ndalichako kufanya hivyo ni sawa na kuweka kichwa chake kwenye mdomo wa Simba ... inahitaji uzalendo wa kweli kumtunishia Magu msuli ...Ni zaidi ya miezi miwili sasa tangu kuanza kuzagaa kwa habari kuhusu utata wa elimu ya kidato cha nne ya bwana Makonda ambaye ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam. Kama inavyosemekana makonda alitumia cheti cha kidato cha nne cha bwana Paul Christian baada ya yeye RC Makonda (wakati huo akiitwa Albert Bashite) kupata division 0. Kughushi Cheti hicho ambapo kisheria ni kosa la jinai ndio kimemsaidia kupata fursa mbalimbali kielimu na kiuongozi mpaka hapa alipo leo.
Ni wakati mwafaka mawaziri hawa ambao ndo wanaosimamia masuala ya elimu na Utumishi kutoka hadharani na kutujulisha umma wa Watanzania juu ya ukweli wa jambo hili kama hatua aliyochukua Mheshimiwa Nape mara baada ya Chombo cha habari kuvamiwa. Ni vema hawa mawaziri wakaanzisha uchunguzi na kutoa taarifa juu ya utata wa elimu ya Bwana Makonda, kwani huyu ni mtumishi wa Umma tena ni Mkuu wa jiji kubwa kuliko yote nchini, kwa maana hiyo jiji hili lazima liongozwe na kiongozi aliye na sifa stahili hususani kielimu. Na ifahamike wazi kuwa maelfu ya watumishi wa umma kama alivyo makonda wamefukuzwa Kazi Na kufunguliwa mashitaka kwa kosa la kughushi vyeti vya elimu.
Wito wangu kama mawaziri watashindwa kutupa ukweli wa suala hili basi watangaze kuwa watumishi wote waliofukuzwa kazi Kwa kosa la kughushi vyeti warudishwe makazini kwani hata wao walikuwa wachapa kazi mahili kuliko hata makonda, pia hawa mawaziri inabidi wajipime uhalali wao wa kuendelea na nafasi zao za uwaziri kwa kushindwa kutimiza wajibu wao Na ikibidi wajiuzulu na kuwaomba radhi watumishi waliowafukuza kazi kwani nchi hii hatuna double standard , zoezi la uhakiki wa Vyeti lilihusu watumishi wote wakiwemo wakuu wa mikoa, sasa kuna tatizo gani kutoa taarifa ya uhakiki wa vyeti vya bwana makonda? Watujibu hawa mawaziri na kama hawawezi wajiuzulu Kwa maslahi ya Umma, kwani hawakuzaliwa ili wawe mawaziri, wapisheni watu watakaokuja kutupa majibu ya hoja hii.