Kosa lake: Alifanya kazi ya Raisi bila kutumwa na Raisi. In administrative law is called excess of powers,usurping of powers,Ultra vires. Aliunda kamati kumchunguza mteule wa Raisi bila kutumwa na Raisi. This is absolutely ultra vires. Ilikuwa au ajihuzuru au atumbuliwe. There was no shortcut.Hakutenda kosa lolote lile ambalo lilistahili afutwe uwaziri. Alifanya kile alichostahili kufanya kama waziri. Cha kustaajabisha huyu uchwara anasema Mawaziri wasimamie haki lakini yeye ndiye kinara wa kupindisha sheria za nchi. Mfano mmoja tu ni Bashite na vyeti vyake vya kufoji na uvamizi pale Clouds. Na upo ushahidi mwingine chungu nzima wa jinsi anavyopindisha sheria za nchi.
Ulikuwa ni mtego hakutumbuliwa, bali aliletwa mtu mwingine kwenye nafasi yake bila ya yeye kuambiwa chochoteKutumbuliwa kwa Nape kumeacha maswali mengi na mjadala mkubwa huku wengi wakijiuliza ni kosa gani kubwa alilolifanya hadi kupelekea kupokwa wizara aliyokuwa akiisimamia!
Najua kuna wenye ubuyu wa uhakika juu ya kutumbuliwa kwake, hivi kosa lake kubwa ni lipi maana hata hakuna taarifa iliyotolewa ikulu kama pengine alijiuzulu kama inavyosemekana au la!
Wanaofahamu kosa lake kwa jamii hadi kutolewa na mteule watueleze...
Kosa kubwa kama kiongozi ni Ku mis handle suala zima la Clouds.Kutumbuliwa kwa Nape kumeacha maswali mengi na mjadala mkubwa huku wengi wakijiuliza ni kosa gani kubwa alilolifanya hadi kupelekea kupokwa wizara aliyokuwa akiisimamia!
Najua kuna wenye ubuyu wa uhakika juu ya kutumbuliwa kwake, hivi kosa lake kubwa ni lipi maana hata hakuna taarifa iliyotolewa ikulu kama pengine alijiuzulu kama inavyosemekana au la!
Wanaofahamu kosa lake kwa jamii hadi kutolewa na mteule watueleze...
Kwani rais kumchomoa waziri ni hadi waziri afanye kosa? Kuondolewa kwa Nape kumevunja sheria au katiba ipi? Acha ushabiki na mihemko...reasoning yako inapaswa kuwa rational...sio kuwa guided na emotions..Hakutenda kosa lolote lile ambalo lilistahili afutwe uwaziri. Alifanya kile alichostahili kufanya kama waziri. Cha kustaajabisha huyu uchwara anasema Mawaziri wasimamie haki lakini yeye ndiye kinara wa kupindisha sheria za nchi. Mfano mmoja tu ni Bashite na vyeti vyake vya kufoji na uvamizi pale Clouds. Na upo ushahidi mwingine chungu nzima wa jinsi anavyopindisha sheria za nchi.
haitaji kumuonesha usoni ndio afahamike,,,yaani ata wakipangwa 300 kwenye mstari naweza kumtambua bila shida yoyote licha ya kwamba hakuoneshwa usoni.Kimsingi yule ni kijana wake.. hata yeye alikuwepo eneo la tukio. Najiuliza kwa nini kamera hazikumuonesha usoni mshika bastola
Tafadhali usilipe hili suala sura ya ukabila.achana na huyo mleta mada kwani kaonekana bado yupo nyuma na teknolojia, tujipange kudai uhuru toka kwa wasukuma wawili kama ilivyokuwa mwaka 1961
mkuu unatiming nzuri yaani kila post lazima utokee, tena unakuwa wa kwanza kwanza. sasa kwa nini usifungue tuakaunti twingi twingi ili kuo geza wingi wa supports wa bwana mkubwa?
Wanayofanya tu mtu ukiangalia ni unaona maigizo.
Hiyo ya sauti sijui kipaza sauti na mimi pia nilinoti.