Great Thinker.......Nilikuwa nashangaa sana kuona Nape anasema kuipinga serikali hadharani, nikajiuliza huyu ni Nape kweli au kuna jambo jingine nje ya boksi.
Maana nimeshuhudia matukio mengi mengi ya hovyo Nape akitetea kipindi cha Jakaya leo hii anajidai kabadilika km sio unafiki nini.
Tumeshuhudia akitetea makosa makubwa hadharani leo Magufuli ndio shujaa eti huu ni unafiki ni kampeni za chini chini ili serikali ya Magufuli ionekane inachukiwa zaidi na zaidi.
Kumbukeni Nape alikuwa team Membe hivyo hapendezwi kabisa kuona Rais watu akiongoza nchi hii kwa nia njema.
Issue ya Clouds ni kweli Makonda alichemka angempigia simu tu Ruge na kumuuliza mbona vijana wako hawarushi issue ya Gwajima?.
Nafikiri angefahamishwa na Ruge jinsi ilivyo na taratibu zipi zilikuwa zinasubiliwa.Nape alichochmka naye kwa hili yeye ni serikali.
Makonda pia ni serikali kwanini huyu waziri wa Diamond asimuhoji kwanza Makonda ili ajue kuna nini chini ya kapeti sasa yeye Nape alitaka kufurahisha media tena akizidi kwenda mbali akaunda kamati je hiyo kamati ilimuhoji Makonda?.
Je Nape alimuhoji makonda? Au Nape alimpigia simu Boss wake? Kama jibu ni no nikisema Nape alikuwa na interest zake tafauti na za issue hii.
Nape kafanya madudu mangapi kazuia bunge live kafungia magazine mangapi. leo Nape awe shujaa no no Big no. Nape siku zone anatetea serikali siku zote liwe jema au baya anatetea kipindi cha JK vipi leo Magufuli au ana hasira za Membe kukosa Urais.
Usingejuiliza haya Maswali kama ungefanya japo kaudadisi kama vile Azam tv clip yao pia clip ya Global Tv online ambao walikua wanarusha live.Nimepitia clip zote za sakata la Nape kushambuliwa na kitu kama bastola na kuvunjika kwa mkutano wake.
Nimeshangazwa na uwezo mkubwa wa camera za Millard Ayo kunasa sauti ya nape na kusikika sawia kabisa kama alifanya shooting na studio za Godfarther za sauz. Nashindwa kuelewa kuwa hotuba ya Nape ilirekodiwa studio siku moja kabla ya tukio. Hivyo pale Protea Hotel Nape alikuwa anafanya shooting tu.
Haiwezekani mtu ambaye alikuwa akiongea yuko juu ya gari tena bila kipaza sauti sauti yake ikanaswa na kusikika mubashara na camera nadhani hapa kuna kausanii fulani.
Duu ndio vijana tulionao katika mitandao kila page ambayo ina jina la mtu maarufu katika mitandao unazani ya mhusika, ile sio page ya makonda.. Ndio maana ata insta Kuna page ya Nape lakini sio ya Nape.. Mfano Kuna page ina jina la Siro instagram lakini sio ya Siro ni watu wanafungua tu..Nakumbuka siku Nape alipounda tume hii iliyompa Shida, Makonda aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook. Kuwa lazima Nape awe wa kwanza kung'oka. Je huoni nguvu ya Makonda kuendelea kuwakalia mawaziri wengine vibaya ?!
kwahyo haki ina conditions cku hizi??? duh kz kwelikweliUkweli kabisa Nape usisikilize mihemuko ya watu mitandaoni. Wengi wanaokupush wanataka udidimie kisiasa maana ukienda CHADEMA umekwishaaa. We kaa kimya muda si mrefu JPM akiona umetulia atakupa kiti kingine maana ni ukweli ulio wazi JPM anajua mchango wako mkubwa kwake na kwa CCM. Ona mama Anne alikaa kimya si kampa ubunge. Nchimbi pia si yuko ubalozi? we tulia ni muda tu. Kakuondoa sababu anajua waliokuwa wanakushinikiza kwa hili sio wema. Ampe ushindi gwajima we................................... labda sio JPM
Hakuunda kamati ya kumchunguza mtu,Bali ya kuchunguza tukio la uvamizi.Haki haiukutendeka,hamuwezi kutudanganya kwa kiingereza ambacho hata nacho hamkijui ingawa mmekisomea hadi mkapata PhDKosa lake: Alifanya kazi ya Raisi bila kutumwa na Raisi. In administrative law is called excess of powers,usurping of powers,Ultra vires. Aliunda kamati kumchunguza mteule wa Raisi bila kutumwa na Raisi. This is absolutely ultra vires. Ilikuwa au ajihuzuru au atumbuliwe. There was no shortcut.
[emoji23][emoji23][emoji115][emoji115][emoji23][emoji23]Millard Ayo ndiyo kitu gani mkuu
Makonda alivyotaja wauza unga, Nape akapinga - Magufuli akaweka msimamo hakuna cha umaarufu wewe taja tu kama wanahusikaKutumbuliwa kwa Nape kumeacha maswali mengi na mjadala mkubwa huku wengi wakijiuliza ni kosa gani kubwa alilolifanya hadi kupelekea kupokwa wizara aliyokuwa akiisimamia!
Najua kuna wenye ubuyu wa uhakika juu ya kutumbuliwa kwake, hivi kosa lake kubwa ni lipi maana hata hakuna taarifa iliyotolewa ikulu kama pengine alijiuzulu kama inavyosemekana au la!
Wanaofahamu kosa lake kwa jamii hadi kutolewa na mteule watueleze...
Pamoja na kuomba msamaha, lakini hafai kupewa nafasi za kuteuliwa nadhani nzuri kwake ni kuchaguliwa.Kutumbuliwa ni kutenguliwa,tulichoelezwa ni kwamba Rais amefanya mabadiliko na wala si kutengulia, and who knows...may be siku chache mbele angepangiwa kazi nyingine kama angekuwa humble baada ya pale,lakini kwa panick aliyoonesha baada ya pale atakuwa amempa wakati mgumu Rais wa kumfikiria, kwani kuplan kufanya mkusanyiko bila kibali tayari ilikuwa ni kinyume cha sheria za nchi.Haikuleta picha nzuri kwani mpaka wakati ule ni kama bado alikuwa waziri kwa kuwa alikuwa bado hajakabidhi na kimsingi hakuwa amefutwa kazi.Nape ni moja ya viongozi nnaowaheshimu sana lakini bado najiuliza kwenye hili alipatwa na nini akaruhusu kuangamizwa na emotions? Sitaki kuamini Nape hajaona makosa aloyafanya na kwa kuwa ni mtu muungwana ataapologize kwa mh Rais, na pia sitaki kuamin kuwa mh. Rais hajui umuhimu wa Nape katika CCM na hivyo hatasita kumsamehe pindi atakapo apologize.
kudought=kudoubtmnaruhusiwa kudought ila inaelekea bado mawazo mgando yamewajaa nendeni uko kolomije mkawadanganye mnajua media ngapi zilikuwa pale na wanavifaa gani
Hajawahi kuikanusha hiyo page hasa ukizingatia hali ilivyokuwa ikifukutaDuu ndio vijana tulionao katika mitandao kila page ambayo ina jina la mtu maarufu katika mitandao unazani ya mhusika, ile sio page ya makonda.. Ndio maana ata insta Kuna page ya Nape lakini sio ya Nape.. Mfano Kuna page ina jina la Siro instagram lakini sio ya Siro ni watu wanafungua tu..
Kwa akili yako makonda angeandika hivyo,
Kwani ni dhambi ipi isiyo sameheka? Kama mtume PAULO alikuwa muuaji kabla hajamjua mungu na baadaye akasamehewa baada ya kumjua Mungu kwanini Nape asisamehewe?Nilikuwa nashangaa sana kuona Nape anasema kuipinga serikali hadharani, nikajiuliza huyu ni Nape kweli au kuna jambo jingine nje ya boksi.