Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

.Nape was never a saint far from it Bunge Live fiasco comes to mind, but when you go out swinging thats how we will always remember you!!
BTW mkulu alikiri kuwa yeye ndie aliyeamulu hakuna bunge live,Nape was just a messenger,that tells he is behind everything Makonda does.
 
Watanzania tungekuwa wafwatiliaji wa mambo kama wewe tusingejazana mtandaoni kumtukana makonda na jpm.hapa kazi tu
 
Heshima Kwenu wakuu,

Leo nmeamua kuwaletea update kutoka kwenye mkutano wa aliyekuwa Waziri wa Michezo wa awamu ya tano Nape Nnauye.

Karibuni.

=======

UPDATES;


=======
Nimeagiza mchemsho wa samaki mkuu , nakufuatilia .
 
Alionywa na watu kwamba akifuatilia issue ya Makonda AKA Bashite atatumbuliwa. Kwa ujasiri bila ya kuogopa amefuatilia na amewasilisha ukweli wa jambo alilolifanya Mkuu wa Mkoa.

Kwa nini shujaa.

Nape ujasiri na ushujaa hakuanza leo alikuwa jasiri toka enzi za Mkapa na kuzua sintofahamu kubwa sana wakati watu walipo hoji umri wake kama kiongozi wa vijana UVCCM wakati ule na baadaye ikasemekana ilikuwa fitina tu.

Hongera "Nape you are a great men of the year"
 
Vita dhidi ya madawa ya kulevya Ni ngumu sana
Tatizo wapambanaji wa madawa wameshapoteza mwelekeo. mwingine wamefoji vyeti/jina. mwingine anambeba mfoji vyeti. Mwingine katumbuliwa bila hata sababu kutolewa. Ishakuwa vurugu tupu
 
Bro lazima kulikuwa na sintofaham tangu mwanzo, kwahy kuvuliwa uwazir kunakuwa na taswira ya tofauti hasa kwa wale ambao hawatakuwa wakiusoma mchezo, hivi vitu ni viwili tofauti kwa mfano ss hiv chanzo cha habar kitakuwa ni Ikulu kwamba kwanini imemvua uwazir, lakini angejiuzulu chanzo cha habar kingekuwa ni yeye kwamba kwann ameamua kuacha uwazir nafkiri mada zingeenda tofauti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…