Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Heri wewe uliyepata guta!Quite correct,ndio maana hata kwenye makinikia tuliaminishwa Noah tukaambulia guta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heri wewe uliyepata guta!Quite correct,ndio maana hata kwenye makinikia tuliaminishwa Noah tukaambulia guta
Nape mwenyewe ni utumbo sasa ulishaona wapi utumbo ukauchoka utumbo mwenzake ?Nape kachoka kuvumilia utumbo.
Jambo hili lilitarajiwa tangu awali. Ukiua upinzani wa nje, unaibuka wa ndani. Na kama huyu mzee ataondoka kweli hiyo 2025, basi tutarajie makundi na kambi za kutosha tu za Urais!Hapa mbele tunakoelekea kuna siku wabunge watagawanyika.
Yaani kuna kundi la kuwatetea wananchi litapigana na kundi la kumtetea bwana yule au chama.hi vifa itakhwa kubwa sana
Swali la kujiuliza hivi wakusanya kodi wanakusanya kwa kutumia nini si sheria ndiyo wanayotumia na wanaotunga hizo sheria ni kina nani?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Bora aseme yeye sasaiv tatizo sio kodi,
Kuna fine kubwa kuliko hata mtaji
Waendelee kusema labda wataweka, wengine wakilia ni wapiga deal
Issue ipo kwenye mamlaka ya bunge na wazir mwenye dhamana..
Na hapo sasa humo humo ccm mpya ya bwana yule kuna watakao jitoa nao kuungana na ccm kindaki ndaki (kama atakubali kuachia madaraka endapo mchakato wa kuendelea utakataliwa)ndio ujue kuwa kuna watu wako mle kwa ajili ya maslahi tuu.Jambo hili lilitarajiwa tangu awali. Ukiua upinzani wa nje, unaibuka wa ndani. Na kama huyu mzee ataondoka kweli hiyo 2025, basi tutarajie makundi na kambi za kutosha tu za Urais!
Nawaza kutakuwa na CCM ya aina gani baada tu ya huo uchaguzi mkuu wa 2025! Vita kati ya CCM ASILI vs Ccm Mamluki/Makinikia, itarudi upya. Najua kwa sasa wanamuogopa tu huyo mporaji wa hicho chama
Nilitegemea waheshimiwa wangekuja na mapendekezo ya kuangalia sheria na kupendekeza labda kuwe na chombo kimoja cha kukusanya mapato na kufuta tozo au kodi zinazosumbuaHaya tusubiri kuona kama bwana atafurahishwa na haya. TAL alishasema haya kitambo na watu hawahawa wakamubishia. Sasa wanakiri kuwa TRA inatafuna biashara.
Anamchana mkulu kwa mlango wa hoja 😝😂😂Nape Bado anadukuduku hata msamaha alioomba ni kupisha shari
kmmmk balaa😁Jamani msisikie mtaani kuna njaa kali..machinga anakaa hadi siku tano hajauza hata pair moja ya soksi au kiwembe
Hahahahah ni ni sawa na matokeo ya nguvu ambayo utaitumia kumuua mbu kwenye korodani 😂 kufa atakufa ila wewe pia hutabaki salama 😁😁😁Kodi inatakiwa ukusanye kwa Nguvu wabongo hawaendi kwa barua utamaliza Rimu ya barua na hakuna kodi kubwa kodi nyingi ni adhabu watu wana default sheria za kodi
Bora ya miti, tunatembelea baskeli ya barafu jua likiwaka tu inabaki story 😂😂😂Hata guta hatujapata, tumepata baskel ya miti
Unakuta mkuu wa wilaya anakagua mashine za efd.
Nape kanena ukweli!
Hujui kitu. Nilibambikiwa kodi ya sh 400m. Baada ya kuikataa na kukata rufaa nikalipa 32m. Nayo yule mtu wa investigation alisema, anaomba nikubali kulipa japo kwa vielelezo vilivyopo, ilikuwa zero tax kwa sababu hakukuwa na capital gain. Lakini akasema kuwa akiweka hiyo zero tax, yeye na mimi, tutapata usumbufu mkubwaSwali la kujiuliza hivi wakusanya kodi wanakusanya kwa kutumia nini si sheria ndiyo wanayotumia na wanaotunga hizo sheria ni kina nani?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Ukisoma sheria zinazosimamiwa na watoza kodi kila kitu kipo wazi wao kazi yao ni kufata sheria ilivyosema ndiyo maana wakienda nje ya utaratibu au matakwa ya sheria wanashitakiwa.
Lazma watazichapa mjengoni 😂😂😂 maana naona wabunge akili zimeanza kuwarudia sasa.Hapa mbele tunakoelekea kuna siku wabunge watagawanyika.
Yaani kuna kundi la kuwatetea wananchi litapigana na kundi la kumtetea bwana yule au chama.hi vita itakuwa kubwa sana
Kadri siku zinavyoenda hawaogopi tena maana wanajua ni muhula wake wa mwisho tena huenda bunge kwa sasa likambadilikia hamuwezi amini itafika kipindi watu wataanza kusifia bungeLazma watazichapa mjengoni [emoji23][emoji23][emoji23] maana naona wabunge akili zimeanza kuwarudia sasa.
Tatizo ni yule bwege pale kwenye madhabahu ya bunge ndio yupo upande wa jiwe😁😁😁Kadri siku zinavyoenda hawaogopi tena maana wanajua ni muhula wake wa mwisho tena huenda bunge kwa sasa likambadilikia hamuwezi amini itafika kipindi watu wataanza kusifia bunge
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema kuna changamoto kubwa ya biashara nyingi kufungwa na hili ni kutokana na Serikali kutotumia Wanataaluma katika kukusanya kodi.
Mafanikio yanayofurahiwa sasa kwenye mapato ni ya muda mfupi lakini itafika wakati hakutakuwa na cha kukusanya. Asema baadhi ya Wafanyabiashara wanatishwa kwa mashtaka ya Uhujumu #Uchumi hivyo huamua kufunga biashara.