Nape: Ukusanyaji wa kodi ni taaluma ila Serikali imeacha kutumia wenye taaluma inatumia task force ambao kazi yao ni kuua biashara tu

Nape: Ukusanyaji wa kodi ni taaluma ila Serikali imeacha kutumia wenye taaluma inatumia task force ambao kazi yao ni kuua biashara tu

Hapa mbele tunakoelekea kuna siku wabunge watagawanyika.
Yaani kuna kundi la kuwatetea wananchi litapigana na kundi la kumtetea bwana yule au chama.hi vifa itakhwa kubwa sana
Jambo hili lilitarajiwa tangu awali. Ukiua upinzani wa nje, unaibuka wa ndani. Na kama huyu mzee ataondoka kweli hiyo 2025, basi tutarajie makundi na kambi za kutosha tu za Urais!

Nawaza kutakuwa na CCM ya aina gani baada tu ya huo uchaguzi mkuu wa 2025! Vita kati ya CCM ASILI vs Ccm Mamluki/Makinikia, itarudi upya. Najua kwa sasa wanamuogopa tu huyo mporaji wa hicho chama
 
Bora aseme yeye sasaiv tatizo sio kodi,

Kuna fine kubwa kuliko hata mtaji

Waendelee kusema labda wataweka, wengine wakilia ni wapiga deal

Issue ipo kwenye mamlaka ya bunge na wazir mwenye dhamana..
Swali la kujiuliza hivi wakusanya kodi wanakusanya kwa kutumia nini si sheria ndiyo wanayotumia na wanaotunga hizo sheria ni kina nani?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Ukisoma sheria zinazosimamiwa na watoza kodi kila kitu kipo wazi wao kazi yao ni kufata sheria ilivyosema ndiyo maana wakienda nje ya utaratibu au matakwa ya sheria wanashitakiwa.
 
Jambo hili lilitarajiwa tangu awali. Ukiua upinzani wa nje, unaibuka wa ndani. Na kama huyu mzee ataondoka kweli hiyo 2025, basi tutarajie makundi na kambi za kutosha tu za Urais!

Nawaza kutakuwa na CCM ya aina gani baada tu ya huo uchaguzi mkuu wa 2025! Vita kati ya CCM ASILI vs Ccm Mamluki/Makinikia, itarudi upya. Najua kwa sasa wanamuogopa tu huyo mporaji wa hicho chama
Na hapo sasa humo humo ccm mpya ya bwana yule kuna watakao jitoa nao kuungana na ccm kindaki ndaki (kama atakubali kuachia madaraka endapo mchakato wa kuendelea utakataliwa)ndio ujue kuwa kuna watu wako mle kwa ajili ya maslahi tuu.
 
Haya tusubiri kuona kama bwana atafurahishwa na haya. TAL alishasema haya kitambo na watu hawahawa wakamubishia. Sasa wanakiri kuwa TRA inatafuna biashara.
Nilitegemea waheshimiwa wangekuja na mapendekezo ya kuangalia sheria na kupendekeza labda kuwe na chombo kimoja cha kukusanya mapato na kufuta tozo au kodi zinazosumbua
 
Kodi inatakiwa ukusanye kwa Nguvu wabongo hawaendi kwa barua utamaliza Rimu ya barua na hakuna kodi kubwa kodi nyingi ni adhabu watu wana default sheria za kodi
Hahahahah ni ni sawa na matokeo ya nguvu ambayo utaitumia kumuua mbu kwenye korodani 😂 kufa atakufa ila wewe pia hutabaki salama 😁😁😁
 
Unakuta mkuu wa wilaya anakagua mashine za efd.

Nape kanena ukweli!

Unakuta Jaffo naye ni mtalaamu wa tiba anahamasisha nyungu, jiwe naye mtalaamu wa tiba anahamasisha promote "bupeji" nk.

Waziri wa afya naye promoter wa miti shamba.

Alimradi ni migagikoko proper.

Si kodi si tiba mitano hii mikononi mwa shweitani namba itasomwa na waliomo na wasiokuwamo.
 
Ndiyo kwanza miezi miwili kwenye mitano tena Magufuli efect kwenye mitano ya kwanza ilianza kuonekana 2017 mpaka tukapata msemo vyuma vimekaza

Na kwasasa sura halisi ya mitano tena bado haijaonekana tuje hapa kuulizana 2022
Kama hauna pass andaa mapema maana ongezeko la wasafiri litakuwepo na kutakuwa na vikwazo zaidi kuipata hiyo pass kama Ethiopia sijui
Ethiopia wana vikwazo kiasi gani kupata pass mpaka wengi wao kusafiri kwa tabu sana na kwa gharama kubwa sana
 
Swali la kujiuliza hivi wakusanya kodi wanakusanya kwa kutumia nini si sheria ndiyo wanayotumia na wanaotunga hizo sheria ni kina nani?Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Ukisoma sheria zinazosimamiwa na watoza kodi kila kitu kipo wazi wao kazi yao ni kufata sheria ilivyosema ndiyo maana wakienda nje ya utaratibu au matakwa ya sheria wanashitakiwa.
Hujui kitu. Nilibambikiwa kodi ya sh 400m. Baada ya kuikataa na kukata rufaa nikalipa 32m. Nayo yule mtu wa investigation alisema, anaomba nikubali kulipa japo kwa vielelezo vilivyopo, ilikuwa zero tax kwa sababu hakukuwa na capital gain. Lakini akasema kuwa akiweka hiyo zero tax, yeye na mimi, tutapata usumbufu mkubwa

Nikalipa, nikafunga biashara.
 
Hapa mbele tunakoelekea kuna siku wabunge watagawanyika.
Yaani kuna kundi la kuwatetea wananchi litapigana na kundi la kumtetea bwana yule au chama.hi vita itakuwa kubwa sana
Lazma watazichapa mjengoni 😂😂😂 maana naona wabunge akili zimeanza kuwarudia sasa.
 
Kwani kachokonolewa wapi?
Ni Nini kimetokea?
Imekuwaje na kuanzia lini?

Bora mchawi kuliko mnafiki nape
 
Lazma watazichapa mjengoni [emoji23][emoji23][emoji23] maana naona wabunge akili zimeanza kuwarudia sasa.
Kadri siku zinavyoenda hawaogopi tena maana wanajua ni muhula wake wa mwisho tena huenda bunge kwa sasa likambadilikia hamuwezi amini itafika kipindi watu wataanza kusifia bunge
 
Kadri siku zinavyoenda hawaogopi tena maana wanajua ni muhula wake wa mwisho tena huenda bunge kwa sasa likambadilikia hamuwezi amini itafika kipindi watu wataanza kusifia bunge
Tatizo ni yule bwege pale kwenye madhabahu ya bunge ndio yupo upande wa jiwe😁😁😁
Anaweza kutembeza mpera wa kamati ya Nidhamu!
 
inaandaliwa database ya wadaiwa wote ukipita migration kugonga muhuri ndio inakua mwisho wa safari
 
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema kuna changamoto kubwa ya biashara nyingi kufungwa na hili ni kutokana na Serikali kutotumia Wanataaluma katika kukusanya kodi.

Mafanikio yanayofurahiwa sasa kwenye mapato ni ya muda mfupi lakini itafika wakati hakutakuwa na cha kukusanya. Asema baadhi ya Wafanyabiashara wanatishwa kwa mashtaka ya Uhujumu #Uchumi hivyo huamua kufunga biashara.

Serikali inabidi, ni lazima iwasaidie wafanyabiashara ndio walipa kodi wakubwa popote duniani. Ndio waajiri wakubwa.

Ndio wadau wakubwa wa serikali yoyote duniani. Muhimu kuongeza wigo wa kukusanya mapato . Siyo kuwakamua yoyote mwenye biashara.

It is shortsighted, it would not work policy, never work.
 
Back
Top Bottom