Lililofanyika wakati wa JPM lilikuwa sahihi kwani maduka ya fedha yalitumika na wafanyabiasha kununua fedha za kigeni na kuweka majumbani. BOT zinarudi shilingi tu. Zinapohitajika za kigeni inabidi wanunue kwenye mabenki ya nje, ambapo shilingi inashuka thamaniHii biashara kuwa mikononi mwa watu binafsi kunaathiri kwa namna yoyote thamani ya pesa yetu na akiba yetu ya pesa za kigeni?