Nape: Wafanyabiashara wa fedha za kigeni walioporwa fedha zao wamefutwa machozi

Hii biashara kuwa mikononi mwa watu binafsi kunaathiri kwa namna yoyote thamani ya pesa yetu na akiba yetu ya pesa za kigeni?
Lililofanyika wakati wa JPM lilikuwa sahihi kwani maduka ya fedha yalitumika na wafanyabiasha kununua fedha za kigeni na kuweka majumbani. BOT zinarudi shilingi tu. Zinapohitajika za kigeni inabidi wanunue kwenye mabenki ya nje, ambapo shilingi inashuka thamani
 
Wewe huna kumbukumbu nzuri. Usd ilishuka mpaka 2250 kwa tzs, angalia mwaka tu tumerudi 2,340
 
Gaidi kuwa mbunge ni dalili kuwa tume ni huru? Kwenye soka kuna mfumo wa VAR, huo mfumo ni wa nini iwapo bingwa alikuwa bado anapatikana? Punguza utoto dogo.
Hawa jamaa waje washinde uchaguzi leo watasema tume ni huru
 
Nashangaa mimi mambo yote haya anaambiwa jpm wakati aliyekuwa Waziri wa fedha yupo na haulizwi, aliyekuwa VP pia yupo, PM ni yule yule. Tuna sjida gani sisi watanzania
 
Kwa katiba hii rais ni mungu mtu, anaweza kufanya lolote bila kuwashirikisha hao walio chini yake. Na hata wakiulizwa na kuamua kuweka kila kitu hadharani, mtasema wanataka kuharibu legacy ya dhalimu.
 
Kwa lengo gani? Je kwanini wahusika warudishiwe haki yao? Ilikuwa uporaji?

===
Nape akiwa Clouds FM amesema

"Rais Samia Suluhu Hassan katika miaka hii 2 ya uongozi amefanya kazi ya kuwafuta
Ndiyo maana watu wanaomshangilia JK na genge lake huwa nawashangaa sana.Huyu ndiyo aliyefanya kazi ya Urais na Uwaziri ionekane ni ya kawaida,kwamba anybody can either be a President or Minister provided ana uwezo wa kujikomba kwa wakubwa.Nadhani tulimsikia Samia akilalamika juu ya watu kuwa na Ma-Godfather serikalini.
Hivi watu kama Nape ata akienda kwenye vikao vya kimataifa atachangia nini mbaya zaidi kapewa Wizara nyeti sana!
Pathetic!
 
Makampuni ya simu yanatudhulumu yeye anaongelea sekta nyingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…