Nape: Wema ametupa heshima kubwa, tutamuweka kwenye rekodi zetu

Wema aliahidi lowasa hawezi kuwa rais ikatimia.

Ndio maana BAVICHA wanatokwa povu

Lowassa anakuwasha sana!! Hata asipohusika utamtaja tu

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Mkumbuke pia huyu Sepenga alikuwa kiongozi wa kampeni ya "Mama ongea na mwanao"

Ila amejazia hatari. Nikijatoboa lazima nimpindue mtoto wa Sultan, nije nionje kilichokuwa kinamkamatisha Simba zamani...
 
Wamekosoa ila hawajakataa uanzishwaji na uwepo wake. You don't have to worry boss. Je, ilikuwa ni muhimu saana hadi huyo ndugu aahirishe shughuli za kuwawakilisha walio wengi kwa ajili ya masuala ya mtu binafsi? Usijibu (nakuomba) ila tafakari boss!

Wallahi kama atajibu bila povu namlipia u-premium membership wa jf

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Wamekosoa ila hawajakataa uanzishwaji na uwepo wake. You don't have to worry boss. Je, ilikuwa ni muhimu saana hadi huyo ndugu aahirishe shughuli za kuwawakilisha walio wengi kwa ajili ya masuala ya mtu binafsi? Usijibu (nakuomba) ila tafakari boss!
Hahah
well said sijui kwanini
 
Hahah

well said sijui kwanini
Nikianza kilio cha '' hamasa '' watu watasema nadeka. Mwanazuoni Jenerali Ulimwenguni (2005)aliwahi andika.... '' kitu kikikufurahisha au kukununisha lazima uoneshe muitikio wa aidha, kucheka, kununa au kuzubaa.. '' Rai la Enzi zile.
 
Huyu Waziri ni Jipu!! Application nayo ni kitu cha waziri kuzindua wakati IT guyz wanatengeneza na kuuza au kusaidia buree!!

How Productive is it to the Country? Ama kweli IQ ya Mtanzania ni very very narrow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…