Nape: Wema ametupa heshima kubwa, tutamuweka kwenye rekodi zetu

Umeshasema hiii ni TZ sio marekani ni TZ ndugu ni third world country usilinganishe tunatakiwa tu focus mambo ya maendeleo sasa ikiwa viongozi wenywe wana ignore mambo ya maana what do you expect??? lazima tuwe disappointed nao....wake up bado umelala??
 
Dah nimecheka sana! Nape hapa umedema shekhe, yani umejipiga tobo kabisa...

Umeenda kuzindua app????[emoji15]
Alafu eti app ya kutupatia habari zake??? Habari gani??? Mimba feki, lipstiki, wema vs zari, idrisa au kitu gani????

Dah kweli hii ndio Tanzania ya viwanda tuliyokuwa tunaisubiri.. [emoji23]
 
Bora hata yule anayeenda Bungeni akiwa na hangover kuliko huyu anayechoma mafuta ya gari, posho yake na dereva pamoja na msaidizi eti kwenda kwenye shughuli ya kikazi ya mtu kuzindua application yake ya simu ambayo nina hakika itakuwa yakuhusu mambo ya kijinga.
Sasa sio kuwa Kitwanga ndio mlevi bali serikali yenyewe ndio imelewa.
 

Hivyo viwanda tutasubiri hadi tutoke mabusha.
 
juzi nilimuona January na nape jembeka festival alafu wanasema mawaziri wenu tunakesha apa
 
Akiweka zile Picha zake za masingiri kwenye App yake atapata wateja wengi.
 
Ndio maana anafanya kazi mwenyewe.....naona hata yeye hawaamini hawa jamaa,SMHD,ingawa kawachagua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…