Nape: Wema ametupa heshima kubwa, tutamuweka kwenye rekodi zetu

Bora angemuacha Kitwanga na kumtumbua huyu waziri kiazi hafai kwa jamii na ikiwezekani JPM uchaguzi ujao awaachie lichama lao lisije likafia mikononi mwake
 
View attachment 350316

Tuache utani, wema kajaaliwa "tamanio" jamani!
Tuweke siasa pembeni tuje kwenye ubinadamu! Wewe ndio ungekuwa waziri umealikwa hapo na hebu cheki hilo Chura lilivyotuna Sepenga akitembea linarukaruka,,, zamani tulikuwa tunasema Singida Dodoma singida dodoma!!! Ahhh wapi lazima ungeenda na kwa vile mafuta ya serikali na dereva wake hautoi hata lita moja huwezi kuacha kama mwanaume rijali umekamilika. Nani hatamani kubonyeza hilo T*ko la Wema? Apite hapa mbele. Tukubali kuwa Nape naye ni binadamu anayo matamanio pia
 
Kuna vijana wanadevelop app za maana hawapewi support bali mambo za kiduanzi wanazipa shavu sana

Kuna mtu alietengeneza app yake akawaalika viongozi wakagoma kwenda? Toa mfano. Nijuavyo hii ya wema Ni hatua kubwa sana MBELE KWANI SASA DUNIA NZIMA WANAWEZA KUZINUNUA KAZI ZA WEMA NA TAIFA LITAPATA KODI NA MAISHA KUSONGA MBELE.
 
Kuna mtu alietengeneza app yake akawaalika viongozi wakagoma kwenda? Toa mfano. Nijuavyo hii ya wema Ni hatua kubwa sana MBELE KWANI SASA DUNIA NZIMA WANAWEZA KUZINUNUA KAZI ZA WEMA NA TAIFA LITAPATA KODI NA MAISHA KUSONGA MBELE.
Ingia google play andika Nitafuteapp ni program iliyogunduliwa na vijana lakini haikupewa sapoti na uongozi ingawa wengi walialikwa siku ya uzinduzi hawakuja. App hii ni kwa matumizi sahihi ya teknologia. Kwa kutumia teknologia ya GPS na E-mapping inasaidia kufuatilia nyendo za makundi hatarishi kwa kupotea. Makundi haya hujumuisha watoto, wagonjwa wa akili na wahanga wa usafirishaji haramu wa binadamu.Kwa kutumia vifaa ambatanishi maalumu vilivyobuniwa (GPS pocket devices), itarahisisha utafutaji, utambuzi, uokoaji na utoaji taarifa ya watu waliopotea
 
Kiukweli hata mimi nimestaajabu sana,
Waziri wa nchi kwenda kuhudhuria upupu kama huo na kuacha kwenda bungeni!!!
 
Hajakosolewa Wema,
ila WaTz wote wenye akili timamu tumeshangaa Waziri wa nchi aliyebeba dhamana kubwa,
Kwenda kuhudhuria kwenye jambo kama hilo, kama na wewe ni mmoja wa waTz wenye akili timamu utaliangalia jambo hili kwa jicho la tatu.
 
Waziri kaenda kuzindua nini? heshima gani imepatikana kupata habari zake pia? mie sijaelewa vizuri maana DUH...

Wanajua wao lililo nyuma ya pazia, sio kwa hili mmmmh
 
Magufuli ana safari ndefu sana kuikomboa hii nchi aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…