Chitolaki Napwachi
Senior Member
- Mar 31, 2015
- 122
- 100
Chura mobile application loading....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuweke siasa pembeni tuje kwenye ubinadamu! Wewe ndio ungekuwa waziri umealikwa hapo na hebu cheki hilo Chura lilivyotuna Sepenga akitembea linarukaruka,,, zamani tulikuwa tunasema Singida Dodoma singida dodoma!!! Ahhh wapi lazima ungeenda na kwa vile mafuta ya serikali na dereva wake hautoi hata lita moja huwezi kuacha kama mwanaume rijali umekamilika. Nani hatamani kubonyeza hilo T*ko la Wema? Apite hapa mbele. Tukubali kuwa Nape naye ni binadamu anayo matamanio pia
Kuna vijana wanadevelop app za maana hawapewi support bali mambo za kiduanzi wanazipa shavu sana
Bora wewe uliyeamua kulewa viroba kuliko watu waliobusy sasa hivi kudownload app ya udaku iliyozinduliwa na waziri.achani mambo yenu ya sepetwanga mi bado nimelewa viroba vya jana
Umemuona mnyaturu live.... TehNchi zenye low expectations wakati mwingine huwa zinashangaza pia..
kwani shida iko wapi hapo Mkuu? Hapo ni sawa na amehudhuria mechi kati ya Yanga na Simba. Tuna matatizo sana! Akienda, maneno. Asipoenda, anaringa!!
Ingia google play andika Nitafuteapp ni program iliyogunduliwa na vijana lakini haikupewa sapoti na uongozi ingawa wengi walialikwa siku ya uzinduzi hawakuja. App hii ni kwa matumizi sahihi ya teknologia. Kwa kutumia teknologia ya GPS na E-mapping inasaidia kufuatilia nyendo za makundi hatarishi kwa kupotea. Makundi haya hujumuisha watoto, wagonjwa wa akili na wahanga wa usafirishaji haramu wa binadamu.Kwa kutumia vifaa ambatanishi maalumu vilivyobuniwa (GPS pocket devices), itarahisisha utafutaji, utambuzi, uokoaji na utoaji taarifa ya watu waliopoteaKuna mtu alietengeneza app yake akawaalika viongozi wakagoma kwenda? Toa mfano. Nijuavyo hii ya wema Ni hatua kubwa sana MBELE KWANI SASA DUNIA NZIMA WANAWEZA KUZINUNUA KAZI ZA WEMA NA TAIFA LITAPATA KODI NA MAISHA KUSONGA MBELE.
Hajakosolewa Wema,Wtz tucwe wanafiki,hmna kitu atafanya msanii bongo movie mkapongeza hta km kinastahili nyie ni kukosoa tuu na kunyumbu zinafata mkumbo akianza mmoja kucomment vbya bac yote yanafata hvyhvyo,huko marekani nani acyejua maisha ya kishenz ya familia ya kardashian lkn hawaachi kuwasapot kwa yle mazr wanayofanya wanaapp kibao apple lkn cc wtz tuna roho za kwnn mno mnaboa htr!!!!!
Magufuli ana safari ndefu sana kuikomboa hii nchi aiseeeeHii nchi ililogwa! Hivi kweli watu na akili zao oops hawa wasio na akili zao akili za kuazima wanafanya hili jambo? bombshell la KISS product litalipuka karibuni. Brand YA USA wenye nayo sijui atawalipa nini? Hii ni rubish kabisa. Waziri mzima eti unaenda kufanya uzinduzi ya umala&$&$&& Yesu utarudi lini?
Ila umekumbusha kitu.Wema aliahidi lowasa hawezi kuwa rais ikatimia.
Ndio maana BAVICHA wanatokwa povu