Hio inaitwa Pu-Re hahahah main dish ya upareniπππ€£Wakuu Nimefika Masandare Ni kijiji tulivu kabisa japo Kuna ukame Sana. Sasa Kilichonishangaza nilidaiwa hela ya kugharamia sherehe ya Leo nikatuma 2m Tsh. Kwa M-PESA wiki iliyopita. Sasa hapa Nashangaa msosi wanatuletea Makande na kinywaji Azam Cola. Daah! Ndugu zangu niliongozana nao wanasitika Sana. Mshenga kaniita chemba kuwa nisipaniki Wala kuleta vurugu ukweni.
Nimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato. Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica.
Mi pia nashangaa, huenda labda ni wale ambao wako less exposed aidha kijijini na hii ni kwa kabila zote ila mpare aliozaliwa na kukulia mjini haezi kuwa na tabia za kipuuzi namna hio.Mi mpare ila hizi tabia za hawa wapare mnazioneaga wapi?
Wapare Ninaowajua wengi wamekula kitabu sana na wasabato wa kufa mtu
Kwa hip Tanzania nzima wapare tu ndio wanafanya hivi?
Mi pia nashangaa, huenda labda ni wale ambao wako less exposed aidha kijijini na hii ni kwa kabila zote ila mpare aliozaliwa na kukulia mjini haezi kuwa na tabia za kipuuzi namna hio.
Mbona povu limezidi bi. Tabu?πππ!!!Kwa kuwa wewe ni malaya au ulioa malaya, unataka watu wote waoe malaya? Kama wewe ni Malaya ni wewe lakini bado kuna watu wasio malaya kama wewe na hao malaya wenzako unaowatetea kwa umalaya wao. Period!
Sio mpare bali mwanamke yeyote mvivu wa kutafuta lazima akuhame tu. Hawez vumilia njaaKingine ukifulia ana kukimbia, hii ukiwa umeoa mpare asie mtafutaji.
Sawa ila hujajibu swali, je wewe sio malaya au wachaga wenzio wote hawana tabia hiyo na sio washirikina?Tumezaliwa nao, tumekua nao, tumesoma nao, tunaishi nao mitaani, biasharani, tunafanya nao kazi. Tunawafahamau kuliko wewe unayewaona kwa mbali. Lol!.
Sijajua badoAlikuwa amevuta ndumu?
Kwa wapare ni zaidi mkuu.Sio mpare bali mwanamke yeyote mvivu wa kutafuta lazima akuhame tu. Hawez vumilia njaa
Wewe ni kabila gani?Kuwa na tabia zozote za kishetani hakuhalalishwi kwa kuwa kuna wengine wanafanya. Kila anayefanya hayo ni shetani. Na hata kama wanafanya wengi, haimpunguzii maumivu muhanga. Wapare ndivyo walivyo na wanajulilkana hasa. Huwezi kuhalaisha uchawi eti kwa kuwa wachawi ni wengi. Nonsense!.
Hahahah we wanawake utakuwa na ugeni nao bila shaka.Kwa wapare ni zaidi mkuu.
Kumbe mchaga huyu.. HahahaSawa ila hujajibu swali, je wewe sio malaya au wachaga wenzio wote hawana tabia hiyo na sio washirikina?
kuna tabia ambazo ni common.Mi pia nashangaa, huenda labda ni wale ambao wako less exposed aidha kijijini na hii ni kwa kabila zote ila mpare aliozaliwa na kukulia mjini haezi kuwa na tabia za kipuuzi namna hio.
Nafikiri hilo ndio tatizo yanikuna tabia ambazo ni common.
Na kuna utani wa kimakabila.ssasa hawa mambo ya utani wa makabila wanayachukulia kuwa ndio tabia za makabila
Hayo maoni yako mkuu, mie naongea kitu nilicho kishuhudia....jamaa mmoja kaoa mpare na mwingine kaoa mrombo.Hahahah we wanawake utakuwa na ugeni nao bila shaka.
Wewe wapare wenzio hawa wataki dada zao...kuna tabia ambazo ni common.
Na kuna utani wa kimakabila.ssasa hawa mambo ya utani wa makabila wanayachukulia kuwa ndio tabia za makabila
Nikiwemo mimi, demu wa kipare tu simtaki achilia mke! Wa kwanza from Himo alinifanya vibaya mno.Wewe wapare wenzio hawa wataki dada zao...