Napenda akiwa na uwazi katikati, huwa navutiwa sana

Mmmm! wewe ugonjwa wako ni wakupenda wagonjwa wa vilema va MATEGE.
 
Ukitaka kufurahia maisha yako basi mpende mtu kwa sababu mnaelewana na siyo sababu ya muonekano wake.
Ni ngumu sana kumpenda mtu sababu mnaelewana,upendo huu haupo sababu,huanza upendo kwanza kwa zile sifa anuai kisha maelewano hufata.

Kadhalika maelewano ya kimahusiano hutengenezwa,ila maumbileya asili ambayo ni mapambo haya yapo na ndiyo huwa yanaanza kumvutia mtu kwanza kisha mengine hufata.
 
Space iliyonzuri ni kama hii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…