Napenda akiwa na uwazi katikati, huwa navutiwa sana

Ninakushukuru Mkuu kwa matamanio hayo. Tunayathamini sana. Mkuu kama una mchango wowote katika mada hiyo usisite kutushirikisha.
Hapana sina mchango wala matamanio yoyote🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Wa kihivyo wanakuwaga na pango la amboni hatari
 
Je akiwa na huo uwazi dada yako unajisikiaje? Yaani wewe umeangalia kitu kimoja tu! Sijui kama mwili wote ungekuwa sikio kichwa kingekuwa wapi.
Daah. Sasa dada hapo amekujaje mkuu? Kwa hiyo unataka asiwe na uhuru wa kuchagua kitu akipendacho kwa mwanamke kisa dada yake anacho?

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Wewe na Mimi wote tunaumwa huu ugonjwa aisee.Nilifikiri Niko peke yangu.
 
Hicho wengine tunaita Kipago....si utani hata mm huwa nawapenda wadada wenye maumbo vipango.
 
Aisee hii kitu sio poa...nashukuru pisi yangu inayo...yani hata nikisimama nyuma yake naona mbele [emoji3]
Sasa hapo wakati wa kupiga miti si unajikuta unapiga kwenye mifupa?
 
sisi tuliooa mapema kazi tunayo, kumbe kuna vijigape hku

ibilisi ashindwe asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…