Napenda kujua kwa namna gani mashushushu duniani wanaweza kutambuana

Wakusanyaji, wachambuzi na wawasilishaji wa taarifa za usalama wa taifa kwa njia za siri (clandestine methods) kwa jina la kimombo huitwa spiers
Umejitahidi mkuu
 
Asanteeee!!!
 
hahahah eti "shushu"
 
Wakusanyaji, wachambuzi na wawasilishaji wa taarifa za usalama wa taifa kwa njia za siri (clandestine methods) kwa jina la kimombo huitwa spiers
Spies sio spiers mkuu
 
Kijana uko vizur
 
Kuna drone zipo kama wadudu au ndege zinaingia had ndan angalia movie inaitwa Eye in the sky
 
Kuna drone zipo kama wadudu au ndege zinaingia had ndan angalia movie inaitwa Eye in the sky
hizo bado kuwa applied kijeshi,maana drone mdudu hana betri ya kutosha kufanya surveillance kwa mda mrefu,ila wameanza kuunda drone za kutumia solar japo hazijaanza kutumika labda kama wataaply solar technology kwa hizi ndo zitaweza
 
Una maana gani kusema wa kwetu ni too local? Actually kama ni watanzania, lazima wawe local maana mtanzania ni locally Tanzanian. Unless kwako neno local ina maana nyingine au huwezi kuona kizuri kwa chochote kinachofanywa na mtanzania.
Mkuu watu kama hao achana nao tu maana akili yao ni mbovu. kwao wao lolote analofanya mzungu au rai wa kigeni ni zuri hata kama ni hovyo. hawajui kwamba mbinu na nyenzo za kazi hiyo ni sawa tu duiniani kote, tofauti ni vipaumbele, rasilimali (teknolojia na fedha), na mazingira.......
 
Wanapenda kujifanya magentlemen au charming hasa pale wanapotaka kukutumia, wanakuwa na ratiba ambazo wewe huzielewi, wanaongea shortcut sana, ukimuuliza swali anajibu short cut bila maelezo ya kujitosheleza, pia wana sifa ya kutembea na magazeti wakijifanya kusoma kwenye vituo vya usafiri au vya kupumzikia, wanapenda kujikausha sana kama hawajali au hawafahamiani na mtu yeyote yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…