Napenda kujua kwa namna gani mashushushu duniani wanaweza kutambuana

Rahisi sana huwa wanajitangaza kwenye maharusi...na vijiwe vya kahawa
 
Mbna hata vibaka wanatumia mbinu hii?
Enewei umeeleza vizuri
 
hata humu wamo wanawaangalia tu mnavyohangaika kuwajua.
hivi yule mkurugenzi wa NIDA aliteuliwa kuwa nani vile???

be carefully......
 
Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu hiyo "SURVEILLANCE DETECTION RUN" ni nini hasa?
 
Nahisi inategemea na kitengo gani..mfn wale wa suti wengi hawafungi vifungo huwa (nasikia) anaweza kushika upande mmoja wa koti au kuweka tai sawa kumbe hapo ndio washaongea tayari na kutambuana..(sijui kweli)
 
Wale wasiofunga vifungo vya makoti yao, mara nyingi ni PSU ambao wanafanya vile kujiweka tayari wakati wowote kuweza kumkabili adui kwa kutoa silaha toka kiunoni au kwenye makoti yao.
 
Nahisi inategemea na kitengo gani..mfn wale wa suti wengi hawafungi vifungo huwa (nasikia) anaweza kushika upande mmoja wa koti au kuweka tai sawa kumbe hapo ndio washaongea tayari na kutambuana..(sijui kweli)
kutambuana sio lengo mojawapo la hao unaowahita mashushushu,
unless labda wako katika operation moja kwa wakati huo,

actually shushushu sio mtu special saana kama mnavyodhania,sema tu wako trained kwa kazi wanayoifanya,
sawa na injinia alivyo trained kwa kazi yake
 
Kuna codes, siyo kwa shushuu tu hata kwa watu wa vyombo vya ulinzi na usalama. Pia kuna general codes kwa wote wanaelewana (askari, trafic, mwana jeshi)

KADA
Nadhani swali la mtoa mada hujalielewa vizuri though kwa nadhalia ya mwanajeshi kwa mwanajeshi au askari polisi kwa askari polisi hutambuana kwa vitu vichache tu wakiulizana au by body language wanatambuana. Swali la mkuu Igwe limebase kwa mashushushu "spies" watu ambao hutumwa mahali au nchi ya kigeni kwaajili ya kukusanya habari muhimu kwa nchi yake wanatambuana?
Kama hii ndio maana ake basi kutambuana ni ngumu sana mpaka mmoja atakapoamua kujireveal kwa mwenzake. Hii inatokana na usiri wa kazi yenyewe na consequences zake incase ukijulikana kukusanya habari kwa manufaa ya nchi nyingine. Mara nyingi adhabu yake ni kifo au ukionekana unaweza ukatoa mchango nkubwa kwa waliokukamata wanaweza wakakugeuza kuwa double agent, yaani nao wakawa wanakutumia katika kuwapa habari za nchi yako kwa malipo maalumu.
 
Ndo uspecial huo boss
 
Hata mimi hujiuliza sana juu ya watu hawa.
 
Adui pia anaweza kuwa na tabia hizi anapokuwa katika mazingira fulani
 
Nahisi inategemea na kitengo gani..mfn wale wa suti wengi hawafungi vifungo huwa (nasikia) anaweza kushika upande mmoja wa koti au kuweka tai sawa kumbe hapo ndio washaongea tayari na kutambuana..(sijui kweli)
Humuamini aliyekwambia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…