Napenda sana kunywa pombe kali na mix na wine 🍷, ila nasweat sana hata nikiwasha AC 16°C

Hamna sehemu nimesema nakojoa mara kwa mara
 
Achana na pombe dear si nzuri,i learned the hard wayπŸ™nilipatwa na stress kutokana na matatizo kazini, aiseeh niligeuka mlevi balaa,Tena daily,nilifika stage mbaya sana,ni kwa neema za Mungu tu nimetoka huko na nimeikinai pombe kabisa,Mungu akupiganieπŸ™
 
Hamna sehemu nimesema nakojoa mara kwa mara
Sio ligi brother πŸ€“πŸ€“πŸ˜ŠπŸ˜† πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ mm nilicho fanya ni kuchimba deep....
Kwa dalili ulizo SEMA hata uki google utakutana na scenerio...

Tupo pamoja
 
Nyinyi NDIO mnao shindanaga na pombe πŸ€“πŸ€ πŸ˜ŠπŸ˜†πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒπŸ™‚πŸŒ lazima zikuzingue...
Kunywa kidogo narudia Kunywa for leisure tena baada ya kazi....

Unakuta mtu analala mtaroni, anashindwa Hadi kutembea, anakuta mtu wa maugomvi na kutukana.....akilewa NDIO anaanza kuongea kingereza πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚

Pesa yote inaishia kwenye ulabu hajar familia..for sure mtu wa aina hii pombe πŸ€“πŸ€  hazimfai....

Drinking responsible....kunywa Kwa akili pombe sio shetani shetani ni mtu mwenyewe....

NB: siwatetei WALEVI
 
Mkuu kapime kiwango cha sumu mwilini
 
Ujumbe haukuwa wako πŸ™nimeona post ya mhusika nakaamua kumshauri kutokana na personal experience,hayo mengine yako ndugu πŸ˜…πŸ˜… just chill life is not that hectic πŸ€”
 
Mkuu kapime kiwango cha sumu mwilini
Very true na akija tutamwandikia...izo dawa saccharomyces boulardii (probiotics suppliments)
Izo dawa Zina brand nyingi....flora norm sachets, normagut capsules, pia hata colon care (Avalife)
 
Ujumbe haukuwa wako πŸ™nimeona post ya mhusika nakaamua kumshauri kutokana na personal experience,hayo mengine yako ndugu πŸ˜…πŸ˜… just chill life is not that hectic πŸ€”
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Very true na akija tutamwandikia...izo dawa saccharomyces boulardii (probiotics suppliments)
Izo dawa Zina brand nyingi....flora norm sachets, normagut capsules, pia hata colon care (Avalife)
Hahaha
Yaani hizo FOKABULARI zimenitoa kapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…