Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
KweliTuimwagilie moyo nafasi ikiwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KweliTuimwagilie moyo nafasi ikiwepo
Hamna sehemu nimesema nakojoa mara kwa maraMkuu unakunywa maji lakini....vip kuhusu interval yako ya unywaji.....
Unakunywa Kila siku au....
Jarib kuchanganya na energy drink 🍷
Kama ni daily routine yako ujaribu kwenda kuchek FIGO
Maana ishu ya kusweat sana na kukojoa mara Kwa mara ni dalili ya mwanzo mwanzo za matatizo ya FIGO...
😅😅😅Izi dharauSo kweli wewe bodaboda na elimu ya afya wapi na wapi?
Sio ligi brother 🤓🤓😊😆 😂🤣🤣 mm nilicho fanya ni kuchimba deep....Hamna sehemu nimesema nakojoa mara kwa mara
Nyinyi NDIO mnao shindanaga na pombe 🤓🤠😊😆😂🤣🤣😃🙂🌝 lazima zikuzingue...Achana na pombe dear si nzuri,i learned the hard way🙏nilipatwa na stress kutokana na matatizo kazini, aiseeh niligeuka mlevi balaa,Tena daily,nilifika stage mbaya sana,ni kwa neema za Mungu tu nimetoka huko na nimeikinai pombe kabisa,Mungu akupiganie🙏
Mkuu kapime kiwango cha sumu mwiliniNapenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine 🍷 kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty.
Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa.
Ila problem ninayookabiliana nayo ni kwamba nasweat sana usiku kucha hata nikiweka AC nyuzi joto 16° Centigrade.
Ujumbe haukuwa wako 🙏nimeona post ya mhusika nakaamua kumshauri kutokana na personal experience,hayo mengine yako ndugu 😅😅 just chill life is not that hectic 🤔Nyinyi NDIO mnao shindanaga na pombe 🤓🤠😊😆😂🤣🤣😃🙂🌝 lazima zikuzingue...
Kunywa kidogo narudia Kunywa for leisure tena baada ya kazi....
Unakuta mtu analala mtaroni, anashindwa Hadi kutembea, anakuta mtu wa maugomvi na kutukana.....akilewa NDIO anaanza kuongea kingereza 🤣🤣😂
Pesa yote inaishia kwenye ulabu hajar familia..for sure mtu wa aina hii pombe 🤓🤠 hazimfai....
Drinking responsible....kunywa Kwa akili pombe sio shetani shetani ni mtu mwenyewe....
NB: siwatetei WALEVI
Very true na akija tutamwandikia...izo dawa saccharomyces boulardii (probiotics suppliments)Mkuu kapime kiwango cha sumu mwilini
😂😂🤣🤣🤣Ujumbe haukuwa wako 🙏nimeona post ya mhusika nakaamua kumshauri kutokana na personal experience,hayo mengine yako ndugu 😅😅 just chill life is not that hectic 🤔
HahahaVery true na akija tutamwandikia...izo dawa saccharomyces boulardii (probiotics suppliments)
Izo dawa Zina brand nyingi....flora norm sachets, normagut capsules, pia hata colon care (Avalife)
Haahaa😂🤣😂🤓🤓🤠🤠Hahaha
Yaani hizo FOKABULARI zimenitoa kapa
Kufa Tu maana unashauriwa unaleta ubishi.Nilikuwa nakunywa pombe sana, Now nasumbuliwa na tumbo mara tu ni kionja pombe. Sifahamu shida ni nini.